Imenibidi...

It's all about the future na Mrs. yupo hapa kutafuta nasaha za jinsi ya kukabiliana na kumudu mustakabali wa maisha yake. Hakuna haja wala sababu ya msingi kuchimbua yaliyopita.
Baeleze ndugu yangu.
 
Mkuu Next Level naona unazidi kunogesha mada baada ya kuleta hicho kipande. Hapa kuna kitu kikubwa zaidi ya maelezo ya Mrs Mtaba. Maswali yanaongezeka zaidi na sidhani kama tunaweza kupata majibu ya maswali yetu kutoka kwa Mrs Mtaba.

Anyway, yote ni maisha na sometimes kuhukumu kesi ama kutoa ushauri kwa kusikiliza upande mmoja wa shilingi hatuwezi kuwa fair. Kuna contradiction kati ya mada ya zamani na mada ya leo, na mhusika amekiri kwamba mada ya leo ni muendelezo wa mada ya zamani. Je, ni nani alianza ku-cheat? Mrs Mtaba ama Mr Mtaba? Je, hawa watu wote 2 wana aminiana? Kwanini Mr Mtaba awe mkali mpaka asema mwarabu afundishiwe kizungu nyumbani kwa Mr & Mrs Mtaba? Nina amini kwamba upendo wa kweli hujengwa kwenye msingi imara wa TRUST, nikisoma maelezo ya mada hizi 2, ninaona kwamba Mrs Mtaba hana imani na mumewe, na pia Mr Mtaba hamwamini mkewe, matokeo yake ni kuviziana tu.
 
miaka miwili tu..duh bado si wavumilivu kwahiyo ni better uchomoe hiyo ndoa?lol
 
Inakuwaje watu wanakuja kutafuta Justification za kumegwa au Kumega nje ya Ndoa Hapa JF?
 
Inakuwaje watu wanakuja kutafuta Justification za kumegwa au Kumega nje ya Ndoa Hapa JF?
Kwa sababu ni demu akeleta basi nongwaaa. Ok kuharibu sasa mimi ni dume na ilikuwa ni chemsha bongo tuu kwa all the topics nilizokuwa naleta humu.
 
Kwa sababu ni demu akeleta basi nongwaaa. Ok kuharibu sasa mimi ni dume na ilikuwa ni chemsha bongo tuu kwa all the topics nilizokuwa naleta humu.

Nimetumia neni Kumega ( Dume) na Kumegwa ( Demu) sasa kwa nini kunihukumu kwa tafsiri zako
 
JF ni kiboko, watu wanenda mpaka archive kuchukua data. Mku Next level... unanikumbusha mbali sana.

Ila one thing: it is now 10:30pm east africa time.....something is wrong somewhere. check pm yako.
 
Wanajamii za leo jamani,

Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.


Ooohh my God!!

Mrs Mtaba, kwanza kabisa futa hiyo Mrs. Mtaba weka tu jina lako lolote, do not insult your status like that.

Pili wewe dada, after two year you have already stsrted something that will be there for rest of your life, cheated, he has done this and its a mistake, but doing it add nothing but shame to both ya... they say two wrongs wont make it right!!! You have just made it worse

Worse enough, you have come out here to share your low morals... what were you thinking?? kuja hapamkuleta upupu???

There is a movie called "Burning Bridges" - you need to watch it and mama alikuwa akimwambia bintiye aliyeolewa na aka-cheat, akasema usije ukasema haya unayoyafanya!!! Lie!!! If you take time to think about it, you would never post such a confession here

Kuna kitu ntasema kesho halafu usijisikie vibaya

Umedhalilisha wanawake wenzako humu kwa kuweka mapungufu yako jamvini, a woman is more than noble, look what you have done now!!! degrading other women too

Nakuhurumia kwa kujiweka doa, lakini simhurumii jamaa kwani he must have known this would come... ask me why!!
 
Kwa sababu ni demu akeleta basi nongwaaa. Ok kuharibu sasa mimi ni dume na ilikuwa ni chemsha bongo tuu kwa all the topics nilizokuwa naleta humu.

Sick Psychopath, most likely a woman [pathetic woman] or bisexual man with all sorts of child abuse trying to stir some havoc simply to get attention... probably gay altogether!!

Sadly, JF is not a place for you and i would pray that you receive at least 6 months ban because this is not a time wasting forum... we have all the quality people around that we learn from them everyday!!!

kama umetumwa, kamwambie aliyekutuma... umemaliza kazi yake, na kama ni drama queen, basi nenda ukatafute wapuuzi wenzako mtekenyane, mkimaliza mpeane pumba mlate

&&^&)))$@#@@****&^

Shwain mkubwa.....
 
Kesi umeshaamua mwenyewe. Kikubwa subirini nani mshindi maana kwenu ni kama mechi eti unabalance!!. Maisha ya leo kweli bado watu mnagawana hivi kama pipi jamani huogopi kufa kwa mtindo huu? kazi ipo kweli kweli
 
Sick Psychopath, most likely a woman [pathetic woman] or bisexual man with all sorts of child abuse trying to stir some havoc simply to get attention... probably gay altogether!!

Sadly, JF is not a place for you and i would pray that you receive at least 6 months ban because this is not a time wasting forum... we have all the quality people around that we learn from them everyday!!!

kama umetumwa, kamwambie aliyekutuma... umemaliza kazi yake, na kama ni drama queen, basi nenda ukatafute wapuuzi wenzako mtekenyane, mkimaliza mpeane pumba mlate

&&^&)))$@#@@****&^

Shwain mkubwa.....

Kaka tupo pamoja!

Sijajuwa kama nitakuwa sahihi, lakini naomba kuuliza: Je unaruhusiwa kuanzisha thread hata kama hiyo thread haina ukweli wowote?
Nimesema hivi kwasababu navyosoma baadhi ya thread za humu nahisi kama hazina ukweli. Kama thread umeanzisha kwa kujifurahisha, je huoni unawapotezea muda wa watu kuumiza kichwa kufikili jinsi gani ya wewe kusaidiwa?
Ifahamike humu ndani kuwa kuna wengine TUPO SERIOUS na tunajifunza kupitia michango ya watu humu. Sasa kama unakuja na maada ambayo haina ukweli, nadhani si vizuri.

Note: Jamani tuelimishane, tuchekeshane BUT tusipende kupotezeana muda kwa kuanzisha kitu ambacho haki-exist unless unataka kujifunza, basi ndani ya thread yako andika such that mchangiaji ajuwe kuwa anamfundisha mtu. Nadhani kumshauri mtu kama jambo limempata hutofautiana (ushauri) na kama jambo halijamfika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom