Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
Kukushambulia acha tu tukushambulie,unafikiri hayo uliyoandika hapa yametufurahisha sana eee,tena ulivyokuwa unajibu ndo umetuchefua kama nini,kubali vidonge japo ni vichungu we vimeze,na watoto wa mtaani wanakwambia ukilikoroga ulinywe,kwa hiyo linywe sasa.