Imenibidi...

Kama mmeshindana basi talaka ichukue nafasi yake. Hayo mnayofanya ni zinaa....ogopeni zinaa.....ikimbieni zinaa.
 
Mkuu Mbu, umesema point kubwa sana. Mimi ningemuunga mkono Mrs Mtaba na uamuzi wake wa kutafuta njemba wa nje kama angekuwa hajaamua kumsamehe Mumewe. Kwa maoni yangu neno "Nimekusamehe" lina uzito mkubwa sana kumtamkia mtu aliyekuomba samahani kwa makosa yake. Sasa unapomtamkia nimekusamehe halafu ukaenda kufanya mambo ili kutoa ngoma draw hili mimi naliona lina walakini mkubwa. Labda neno "nimekusamehe" limeshapoteza uzito wake katika jamii yetu. Mtu anakwambia nimekusamehe lakini bado ana kinyongo na anaamua kwenda kulipiza kisasi. Naam usijiweke mtu kati kwenye kukataa samahani hauko kwenye kukubali samahani hauko.

Mkuu BAK
haya maneno yanatumika visivyo siku hizi kwenye jamii yetu SAMAHANI zimezidi sana mpaka kwenye makosa ya makusudi. Na NIMEKUSAMEHE zinatoka ili kufunika kombe mwanaharamu apite. Uko mbeleni itakuwa tabu sana hili la Mrs. Mtaba ni mfano wa mengi yaliyopo
 
Wanajamii za leo jamani,

Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.

Mrs Mtaba unajua mafahari wawili hawaishi zizi moja ..

kwanza maamuzi uliyochukua sio sahihi mtajiletea magonjwa ndani ya nyumba inabidi mkae chini muonge kuhusu hili na mkubali kubadilika naona wote mnamakosa na si mmeo pekee
 
We mwanamke mwenzangu aliyekudanganya kuwa matatizo ya ndoa hutatuliwa kwa kulipiza visasi nani?. Hivi unafikiri hata ukijakamatwa ukijitetea kuwa umesukumwa na vitendo vya mumeo utaeleweka? Mke mwenye busara katu asingefanya hayo zaidi ya kumwita mr na kumwuliza wazi huku ukimtolea ushahidi wako! Asipokusikiza mwone mjinga amua hatima ya maisha yako lakini katu si kumlipizia kwa kumtafuta boyfriend hapa nyite mnaonekana kama wajinga!! Pole.

Nitakupa mfano mimi wangu nilidiscover kama yako na nikachunguza na kukusanya ushahidi wa kutosha kisha nikamkalisha chini na kumweleza A to Z na kwa kuwa hakutegemea kuwa ningejua na mbaya zaidi nilijua zamani sana akabaki anashangaa nimewezaje kupretend kuwa sijui na maisha yakawa yanaendelea? Nilipohakikisha nimempa feedback ya uchunguzi wangu sikutaka ajitetee wala nini kwa sababu angenishinda (yeye amejaliwa kuongea sana) so nikampa uamuzi either he leave for that lady or I leave for the lady. Akasua sua siku za kwanza akidhani natania hadi aliponikuta siku moja nimefunga vyangu na mwanangu mabegi mlangoni ndo akavoluntia kuondoka yeye. Sasa yuko kwa mamake.
 
Wanajamii za leo jamani,

Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
Hii ni short term solution. Kila ndoa ina matatizo yake na mi mtazamo wangu ili mtu uwe na amani basi lazima ndoa yako iwe na amani pia. Kulikoni kukimbilia kutafuta boyfriend ambaye hujasema terms za uhusiano wako naye, ingekuwa vema kujaribu kudadisi ni kwanini mmeo ameamua kurudi nyuma baada ya kuaga na kukuoa. Duuh, hizi ndoa bwana, sasa kama kila mtu anaanza kwa boy/girl friend huyo mtoto mtamtafuta saa ngapi?
 
Ni mume wa mtu naye, na wife wake alimdakaga anamegwa nje. Kwa hiyo naye alikuwa kwenye process za kutafuta wa kumega ndo akanipata mimi.

Nahisi hii post imewekwa kwa utani au kutafuta mawazo ya watu incase hili tatizo likimtokea afanyeje.
 
Nahisi hii post imewekwa kwa utani au kutafuta mawazo ya watu incase hili tatizo likimtokea afanyeje.

You are right Nguli.Kwa sababu naona mtu mwenyewe hapendi kuambiwa alofanya ni kosa ila anataka watu wampongeze na kumwambia aendelee na usaliti.Nafikiri hayupo serious.
 
jamani jamani mbona mnafanya masihara na kitu ndoa? kama hamuwezi kukaa ndani ya ndoa kwa kuaminiana si bora muachane tu?
kadri mnavyoongeza watu kuwa ndani ya uhusiano weni wa kimwili ndivyo mnavyoongeza uwezekano wa kupata maradhi.
chukua mke wa bf wako amepata ukimwi kutoka kwa huyo mtu wake, jee mtamalizika wangapi hapo?

uamuzi ulochukua hauna maana yoyote wala hauna mwisho mema. hakuna ndoa isiyokuwa na misukosuko, umeshindwa kustahamili hilo japo umesema umesamehe, anza mbele, kuliko kuendeleza ufuska wa namna hiyo!ahhhh aibu
 
Hehehehe duh lakini ningekuona shujaa kama ungemtafuta na wewe yule wa zamani la sivyo ungekuja kwangu niwe spare tyre all in all unajua fika kuwa mahawara iwa hawaachani we piga moyo konde na wewe mkikutana na hawara wako wa long mwombe mkumbushie za enzi hizo atakubali tu.
 
We mwanamke mwenzangu aliyekudanganya kuwa matatizo ya ndoa hutatuliwa kwa kulipiza visasi nani?. Hivi unafikiri hata ukijakamatwa ukijitetea kuwa umesukumwa na vitendo vya mumeo utaeleweka? Mke mwenye busara katu asingefanya hayo zaidi ya kumwita mr na kumwuliza wazi huku ukimtolea ushahidi wako! Asipokusikiza mwone mjinga amua hatima ya maisha yako lakini katu si kumlipizia kwa kumtafuta boyfriend hapa nyite mnaonekana kama wajinga!! Pole.

Nitakupa mfano mimi wangu nilidiscover kama yako na nikachunguza na kukusanya ushahidi wa kutosha kisha nikamkalisha chini na kumweleza A to Z na kwa kuwa hakutegemea kuwa ningejua na mbaya zaidi nilijua zamani sana akabaki anashangaa nimewezaje kupretend kuwa sijui na maisha yakawa yanaendelea? Nilipohakikisha nimempa feedback ya uchunguzi wangu sikutaka ajitetee wala nini kwa sababu angenishinda (yeye amejaliwa kuongea sana) so nikampa uamuzi either he leave for that lady or I leave for the lady. Akasua sua siku za kwanza akidhani natania hadi aliponikuta siku moja nimefunga vyangu na mwanangu mabegi mlangoni ndo akavoluntia kuondoka yeye. Sasa yuko kwa mamake.

tukiachana na Mtaba anayefanya jokes humu, huu ni ushauri murua kabisa kwa mwanamke yeyote ambaye mumewe ana tabia ya kutembea nje ya ndoa...
 
we mrs hivi hujui kuwa mwanamme halipiziwi kisasi hasa cha kijinga kama hiko afu mwenyewe unajiona bonge la mjanja........ hivi ukisikia ana wengine sijui na wewe utaongeza idadi ya wanaume wa kukufyetua.... afu ujue men tunaitwa wahuni ila nyie mnaitwa malaya take care
 
Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.

duh !!!!
 
tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.

sasa majibu unayo unaleta utumbo wako hapa ili iweje??
OVYO OVYO OVYO
 
Tangu mwanzo nilikuwa nasita kuchangia hii thread maana huyu mama ananichanganya sana, na inaonekana yeye ndo mwenye matatizo makubwa kwenye ndoa yake, hasa ukiangalia thread zake zote. inawezekana mumewe hata kama alishamwacha huyo sugarmumy wake alimrudia kwa ajili ya vituko vya huyu mkewe.
Kwa ufupi mi naona wote nyie wasanii, bahati yenu mko seden sijui, hii bongo zunguka hivyo mara mbili tu uone kama ngoma huna. au pia aliolewa bila kumpenda huyo mumewe , alitaka tu apate chance ya kufika sweden kwa mgongo wa ndoa, na unaweza kuta hata mumewe alipelekwa huko sweden na huyo sugarmumy so bado analipa fadhila kwa ngono. poleni nyote kwa kuleta usanii kwenye ndoa, its so obvious hamjui maana ya ndoa, above all it hurts me kwamba you are over 40yrs kufanya huu ujinga. haya endelea ku enjoy.
 
ni jana tu nilitoka nilitoa mfano wa ma best frnd nae alifanya kama mrs alivyofanya, mwanzo wa thread nikafikiri ni yeye lakini sio, mie cmlaumu mrs kwa maamuzi aliyoyachukua hiyo kwake yeye ndio inampa unafuu na yupo happy kama anavyosema, amejichokea akaona maamuzi ya kuchukua ndio hayo,mtu alielezea ishu yake ya ndoa mtu mwngine anaweza iona cmple na akampa ushauri huu na ule, lakini mwenzie ameshajichokea, ishu ya kusema aombe talaka mana hamfanyi vizuri kwa mumewe kwani huyo mumewe amefanya vizuri kwake? mkiwa mnatoka nje ya ndoa zenu mjue madhara ni makubwa donge mnalotuwekea rohoni ni kubwa sana, mie naheshimu maamuzi ya yoyote anayoweza kuyachukua kutokana na kuteseka/kuchoshwa na ndoa yake na kusema huyo mume akija jua ndio itakuwa mbaya zaidi mjue na mtu mpaka amefikia kuchukua uamuzi huo bac kaona kama mbaya mbaya tu... hapa nipo 50-50 mana na mie yakinikuta cjajua nitachukua uamuzi gani.
 
ni jana tu nilitoka nilitoa mfano wa ma best frnd nae alifanya kama mrs alivyofanya, mwanzo wa thread nikafikiri ni yeye lakini sio, mie cmlaumu mrs kwa maamuzi aliyoyachukua hiyo kwake yeye ndio inampa unafuu na yupo happy kama anavyosema, amejichokea akaona maamuzi ya kuchukua ndio hayo,mtu alielezea ishu yake ya ndoa mtu mwngine anaweza iona cmple na akampa ushauri huu na ule, lakini mwenzie ameshajichokea, ishu ya kusema aombe talaka mana hamfanyi vizuri kwa mumewe kwani huyo mumewe amefanya vizuri kwake? mkiwa mnatoka nje ya ndoa zenu mjue madhara ni makubwa donge mnalotuwekea rohoni ni kubwa sana, mie naheshimu maamuzi ya yoyote anayoweza kuyachukua kutokana na kuteseka/kuchoshwa na ndoa yake na kusema huyo mume akija jua ndio itakuwa mbaya zaidi mjue na mtu mpaka amefikia kuchukua uamuzi huo bac kaona kama mbaya mbaya tu... hapa nipo 50-50 mana na mie yakinikuta cjajua nitachukua uamuzi gani.[/QUOTE]

nyamayao eeh nyamayao eeh hapa umeniacha natafakari
 
Ni mume wa mtu naye, na wife wake alimdakaga anamegwa nje. Kwa hiyo naye alikuwa kwenye process za kutafuta wa kumega ndo akanipata mimi.
imekula kwako mama!!huyu jamaa aliamua kukupa hiyo stori baada ya wewe kuanza kumueleza ya kwako ili kukunasa vizuri! una uhakika gani kuwa naye alimdaka mkewe akimegwa nje?? mbinu tu hizo mama za kukunasa, wewe sema tu ulikutana na mzinzi mwenzio...
 
ni jana tu nilitoka nilitoa mfano wa ma best frnd nae alifanya kama mrs alivyofanya, mwanzo wa thread nikafikiri ni yeye lakini sio, mie cmlaumu mrs kwa maamuzi aliyoyachukua hiyo kwake yeye ndio inampa unafuu na yupo happy kama anavyosema, amejichokea akaona maamuzi ya kuchukua ndio hayo,mtu alielezea ishu yake ya ndoa mtu mwngine anaweza iona cmple na akampa ushauri huu na ule, lakini mwenzie ameshajichokea, ishu ya kusema aombe talaka mana hamfanyi vizuri kwa mumewe kwani huyo mumewe amefanya vizuri kwake? mkiwa mnatoka nje ya ndoa zenu mjue madhara ni makubwa donge mnalotuwekea rohoni ni kubwa sana, mie naheshimu maamuzi ya yoyote anayoweza kuyachukua kutokana na kuteseka/kuchoshwa na ndoa yake na kusema huyo mume akija jua ndio itakuwa mbaya zaidi mjue na mtu mpaka amefikia kuchukua uamuzi huo bac kaona kama mbaya mbaya tu... hapa nipo 50-50 mana na mie yakinikuta cjajua nitachukua uamuzi gani.[/QUOTE]

nyamayao eeh nyamayao eeh hapa umeniacha natafakari

nikusaidie kukutoa kwenye tafakari, cjui nitafanyaje mana wakati ndio utasema, ucjeenda kwamba nitafanya kama mrs hapana kwangu mie hiyo njia c dhabiti.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom