Star
JF-Expert Member
- Dec 5, 2007
- 461
- 3
Usilolijua usiku wa kiza.
Moja kati ya udhaifu kwa Wakiristo dini yao haikukamilika. Hawakuambiwa hata kinachoendelea ndani ya kaburi. Wanafikiri watawachwa bure bure. Kama sio mja mwema adhabu zitakuanzeni pindi tuu mnapotupwa ndani ya kaburi. Mjiweke weke tayari. Pale hutokua na computer wala JF kutuletea habari. Habari ni zile zile alizotuletea Mtume wetu Muhammad, Allah amrehemu. Waislamu tumekuzidini kwa kila kitu. Hamuijui hata historia ya Mama mtukufu Mariam. Nafikiri sasa wakti umefika msome vitabu vya paukwa pakawa
Mmebaki kufanya mijizambi kwa kutegemea kubatizwa na kuokoka. Nani ataekuokoeni? Ni Allah pekee kwanza na akuongoeni kisha akuokoeni. Na Allah hawaongoi watu majahili