Imani ya Ushirikina na Maisha ya Mwananchi

najua unachoongea na sipingani nacho. ila ninachosema ni kwamba 95% ya watazania wameenda kwa mganga,au kuchanjwa. hiyo ni kama walichanjwa kwa kujikinga, kujitibu au kurogana.. so its either its good or bad.

Hao wanaofanya hivyo eti kwa ajili ya kujikinga na kufanyiwa vikorombwezo kibao...yes nakubaliana na wewe...huko ni kuamini uchawi 100%
 
Ukitaka kuamini kuwa watanzania wengi wanaamini Ushirikina angalia jinsi waandishi wetu wanavyoupa kipaumbele utabiri wa Sheikh Yahaya Hussein, kuanzia kwenye kuutangaza mkutano wake na kuutangaza sana utabiri wake!! Utafikiri yeye ndiyo bunge la Tanzania! Yaani watu wanaamini kuwa yeye ni planner wetu mzuri tu.
 
Uchawi can only exist as a part of your fertile imagination put into practice(or malpractice for that matter).Hatupingi kama uchawi haupo ila ukiupa prominence katika maisha yako ni lazima utakuendesha .
Kama unaupa kisogo na wala haukutishi sioni jinsi utakavyo kudhuru.
Msingi ni imani yako na will power yako.The weaker you are, the more prone to witchcraft.

Ukitaka kujua uchawi upo muulize JK nini kilimtokea kule Mwanza, halafu na pale jangwani......., umesahau?
Anyway uchawi upo hata kwenye Bible unatajwa kuwa upo, ukiangalia kile kitabu cha Mwanzo , Farao na Musa jinsi walivyopambana! wachawi walishindwa mbele ya MUNGU wa Israel,Mungu wa Musa.
 
Ndugu msomaji,

Napenda kuuliza yafuatayo ili kuweza kujadiliana kuhusu haya mambo yanayo zingira jamii zetu.

--Je, unaamini nini kuhusu uchawi? Upo au haupo?
--Je,ulisha shuhudia mtu aliye logwa (rogwa) na kuamini kuwa amelogwa?
--Je, uchawi unapingana vipi na imani yako nyingeneyo kama unayo?
--Uchawi unachukuliwa vipi mbele ya vyombo vya sheria?
--Je, mazingaombwe ni aina ya uchawi?...majini nayo?

Ahsanteni.


SteveD.

Kutokana na Kuruani, UCHAWI ambao ndio kazi ya jamaa wasomao Kuruani upo.
 
Inasikitisha sana!
Ndio imani kama hizi zinawafanya wazungu watutukane na kutuaminisha kwamba Waafrika tuna akili pungufu.
Mungu amweke pema Halima.

benin_voodoo_11.jpg
 
Back
Top Bottom