Ukitaka kujua kama yapo ama hayapo si umuingie tu huyo jamaa. Lakini usisahau kuja hapa kutupa taarifa baada ya utafiti wako.
hehehe hic!Ukitaka kujua kama yapo ama hayapo si umuingie tu huyo jamaa. Lakini usisahau kuja hapa kutupa taarifa baada ya utafiti wako.
Kukosa elimu ya kutosha, hupelekea watu kukosa confidence in whatever they do......so kimbilio lao ni huo uchawi!
Wote wanaoogopa wachawi......na wao wanaabudu uchawi.......! Kama mtu huamini na huogopi uchawi hata utishwe vipi hakuna kitakachotokea kwako!
Uchawi to me ni more sychological than reality!....so wachawi hupenda sana kucheza na sychology za watu...hasa waoga, wasiokuwa na confidence!
95% ya watanzania,wameshawahi kwenda kwa mganga, au kuchanjwa. wengi wa vigogo ni wachawi kw kutumia waganga sio wao wenyewe..wengine ndio wanaomba washushiwe na mikoba,wajigange wenyewe
wewe acha kuwa in denial,wake up from that little bublble you call 'LIFE' or your driving me to think that 'truth hurts' did i hit home!?Lete source ya takwimu zako..kama huna itabidi uombe radhi waTZ kwa post yako, ukishindwa kufanya hivyo itabidi tuombe MODS wakupe haki yako..server ban.
wewe acha kuwa in denial,wake up from that little bublble you call 'LIFE' or your driving me to think that 'truth hurts' did i hit home!?
hehehe hic!
akishakufa baada ya kumuingia, nani ataleta taarifa hapa?
...Hivi jamani ni kweli haya mambo ya ndumba kazini yanasaida kweeli? ...
Lete source ya takwimu zako..kama huna itabidi uombe radhi waTZ kwa post yako, ukishindwa kufanya hivyo itabidi tuombe MODS wakupe haki yako..server ban.
Mtindi , this guy only needs to be educated, nafikiri yeye anatoka kwenye jamii inayoendekeza jadi hiyo iliyopitwa na wakati.Server ban haitasaidia sana , elimu can do the trick.