Imani ya Ushirikina na Maisha ya Mwananchi

uchawi upo! sasa mnakataa nini? mimi nimeshaelimika,wakuelimika ni nyinyi.. a degree doesnt actually qualify you as an educated person,DO YOUR HOMEWORK
 
95% ya watanzania,wameshawahi kwenda kwa mganga, au kuchanjwa.

Mjomba kwenda kwa mganga wa jadi au kuchanjwa haina maana wewe unaabudu uchawi au kwamba yule mganga naye mchawi......kuna waganga wengine wa jadi wadawa nzuri sana zinasaidia sana...!

Pili kwa sehemu zile ambazo maduka ya madawa au hospital ni ndoto mtu akipata hitilafu ya kiungo cha mwili, one way ya kumsave humchaja na kumpaka dawa.....na huwa anapona vizuri kabisa!
 
Ni kweli ndugu yangu, wapo watu ambao kweli bila kwenda kwa mganga hawezi kujiamini kama anaweza kufanya kitu... Ni watu ambao huwa hawana sifa za kutosha kuweza kufanya kitu wanachokihitaji.. wanaamini kuwa hawajafikia viwango wanavyotakiwa ili afanye kitu..
Wapo watu wengi ambao hawaamini kabisa bila ya mgongo wa mtu basi mabo yao hayafanikiwi...mara nyingi ni matatizo ya kisaikolojia.... na pia tabia za kishirikina ni asili ya mtu na malezi aliyokulia sidhani kama wewe hujawahi kwenda kwa mganga basi leo hii uende ili uwe meneja hapo ofisini...
Hawa wazee wanogopeka ni kwa sababu kwanza wamepata kwa hiyo nafasi kwa njia ya kishirikina kwa hiyo ni lazima ajilinde kwa njia hiyohiyo.. lakini Thanak God now days mambo yamebadilka,,hakuna uchawi maofisini ni shule yako tu kaka.. kama huko kwenu wapo basi hiyo kampuni haifuati protokali za uajili... usiogope wachawi..mtegemee mungu. TUJENGE NCHI YETU JAMANI
 
Wajameni michango imekuwa mizuri, ingawa wengine wamenituhumu kuwa na mimi mshirikina hilo siyo kweeli kwani tangu nizaliwe sijawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji wala sina hata chale mwilini kifupi nikwamba sijawahi kujihusisha na mambo hayo. Labda kweli imani yangu ndogo....
Lakini jamani mkatae msikatae watu weengi wanaojihusisha na ushirikina mambo yao huwanyookea wengi tu.. angalia wabunge, mawaziri n.k ingawaje pia wako wanaokuwa masikini wa kutupwa kwa kuendekeza taaluma hiyo ya giza!
Wako wasomi kibao wanakesha kwa Vigagula kusafisha nyota......na wengone nawafahamu kabisa wanafanikiwa kabisa.
 
Uchawi upo, kwa sababu ni kazi za ibilisi. Wachawi ni ma-agent wa shetani. Biblia inasema wachawi hawatauridhi ufalme wa mbinguni. Hivyo si suala la kuamini au kutokuamini uchawi, bali upo.

Dawa ya uchawi ni kumuamini Yesu Kristo, kwani alishinda kazi za Ibilisi kwa Kufa na Kufufuka kwake (Kolosai 2).
 
Mjomba kwenda kwa mganga wa jadi au kuchanjwa haina maana wewe unabudu uchawi au kwamba yule mganga naye mchawi......kuna waganga wengine wa jadi wadawa nzuri sana zinasaidia sana...!

Pili kwa sehemu zile ambazo maduka ya madawa au hospital ni ndoto mtu akipata hitilafu ya kiungo cha mwili, one way ya kumsave humchaja na kumpaka dawa.....na huwa anapona vizuri kabisa!

Nini kimekufanya uwe naimani hii ndugu? nipe na mimi huenda nikaanza kuitumia kuwin life, lakini kumbuka hapa simaanishi waganga kama Issac Ndodi... wanaotumia machungwa, miwa, mchicha, mkwaju n.k kutibu nina maanisha washirikina wanotumia vitu kama viungo vya Albino, mifupa ya wafu,nywele za biadamu n.k!
 
Uchawi upo, kwa sababu ni kazi za ibilisi. Wachawi ni ma-agent wa shetani. Biblia inasema wachawi hawatauridhi ufalme wa mbinguni. Hivyo si suala la kuamini au kutokuamini uchawi, bali upo.

Dawa ya uchawi ni kumuamini Yesu Kristo, kwani alishinda kazi za Ibilisi kwa Kufa na Kufufuka kwake (Kolosai 2).
 
Nini kimekufanya uwe naimani hii ndugu? nipe na mimi huenda nikaanza kuitumia kuwin life, lakini kumbuka hapa simaanishi waganga kama Issac Ndodi... wanaotumia machungwa, miwa, mchicha, mkwaju n.k kutibu nina maanisha washirikina wanotumia vitu kama viungo vya Albino, mifupa ya wafu,nywele za biadamu n.k!

MKuu naona umenisoma vibaya sana na ninaomba uniombe radhi tafadhali!

Mimi hata siku moja siamini mambo ya uchawi kabisa....naomba nieleweke....hayo mambo ya Albino, nywele etc to hell with them!

Nilichosema kwenye post yangu ni hivi, sio kila madawa ya kienyeji ya uhusiano na uchawi...upo? So ukiyatumia haya, haina maana unaabudu uchawi....mimi pia huyatumia sometimes!

Suala la kuchanjwa nimekwambia kwa sehemu ambazo hakuna hospital, au maduka ya madawa ya kisasa....mtu akipata hitilafu ya kiungo chochote hupewa madawa ya kienyeji kama their only option available....na pia kama ana uvimbe....au kateguka mguu etc huwa wanamchaja na kumpaka dawa ili iingie vizuri kwenye mfumo wa damu....na watu huwa wanapona...thats all! Hapa hakuna ushirikina bro!
 
Duh, sory mkuu unahaki ya kuhamaki. Nilidhani unatetea Ugagula wa kukuvunja nazi au yai njia panda na mauchawi mengine kibao! Hayo uliyo sema kweli hayana neno ndugu.
 
ukitaka kujua kama juju lipo Tanzania nenda ofisi kama Mamlaka ya Bandari na railway kawaguse wale wazee
 
Duh, sory mkuu unahaki ya kuhamaki. Nilidhani unatetea Ugagula wa kukuvunja nazi au yai njia panda na mauchawi mengine kibao! Hayo uliyo sema kweli hayana neno ndugu.
mbona una mambo ya kishirikina sana wewe. kama unataka kujua kuroga nenda tu mtaani ulizia njia ya mganga wa kienyeji au nenda kwa yahya
 
Mjomba kwenda kwa mganga wa jadi au kuchanjwa haina maana wewe unaabudu uchawi au kwamba yule mganga naye mchawi......kuna waganga wengine wa jadi wadawa nzuri sana zinasaidia sana...!

Pili kwa sehemu zile ambazo maduka ya madawa au hospital ni ndoto mtu akipata hitilafu ya kiungo cha mwili, one way ya kumsave humchaja na kumpaka dawa.....na huwa anapona vizuri kabisa!

najua unachoongea na sipingani nacho. ila ninachosema ni kwamba 95% ya watazania wameenda kwa mganga,au kuchanjwa. hiyo ni kama walichanjwa kwa kujikinga, kujitibu au kurogana.. so its either its good or bad.
 
Hapa umenionea, haya bwana!

hapana mzee,sijakuonea hata kidogo. soma posts zako mwenyewe ulizomwandikia huyo jamaa Next Level. tena ukaomba kabisa akupe ujuzi sio wa uganga wa machungwa, bali wa viungo vya albino. be careful!thats the only advice i give to you.damu zitawalilia siku ya mwisho
 
najua unachoongea na sipingani nacho. ila ninachosema ni kwamba 95% ya watazania wameenda kwa mganga,au kuchanjwa. hiyo ni kama walichanjwa kwa kujikinga, kujitibu au kurogana.. so its either its good or bad.

Aisee umenikumbusha jambo ambalo linanikera sana hapa njia panda ya mkulu; Urusino na Migombani Street

Kila weekend USiku [hasa ijumaa] kuna nazi zinavunjwa usiku kabla ya saa sita ukitoka kwenye starehe zako utakuta na jumamosi asubuhi magari yanakanyaga... Hii imeaza wiki chache zilizopita, sijui ni nini na ina maana hata walinzi hapo ikulu ndogo hawaoni wanaofanya mambo hayo??

INATIA SIMANZI SANA ILE HALI NA MANAZI
 
ndugu yangu uchawi upo. si jambo la kawaida ilo ulilolisema hata kidogo.. naamini kuna kitu kimejificha chini ya pazia.watu sio wazuri
 
hapana mzee,sijakuonea hata kidogo. soma posts zako mwenyewe ulizomwandikia huyo jamaa Next Level. tena ukaomba kabisa akupe ujuzi sio wa uganga wa machungwa, bali wa viungo vya albino. be careful!thats the only advice i give to you.damu zitawalilia siku ya mwisho

Hukunielewa tu mkurugenzi wangu, mbona Next Level kanielewa? Hebu soma tena ile post yangu ukiwa free kabisa bila kunichukulia kama mie Kigagula utanielewa Yessir.
 
uchawi upo! sasa mnakataa nini? mimi nimeshaelimika,wakuelimika ni nyinyi.. a degree doesnt actually qualify you as an educated person,DO YOUR HOMEWORK
Uchawi can only exist as a part of your fertile imagination put into practice(or malpractice for that matter).Hatupingi kama uchawi haupo ila ukiupa prominence katika maisha yako ni lazima utakuendesha .
Kama unaupa kisogo na wala haukutishi sioni jinsi utakavyo kudhuru.
Msingi ni imani yako na will power yako.The weaker you are, the more prone to witchcraft.
 
Last edited:
Back
Top Bottom