February
Member
- Nov 15, 2011
- 90
- 21
Wadau kuna taarifa kuwa hukumu ya kesi jimbo la kasulu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa nccr mageuzi bi agripina buyogera itasomwa leo. Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kutujuza kitakachokuwa kinaendelea ingekuwa vema. Pamoja kigoma bado ipo nyuma kimaendeleo sidhani enternet haijafika huko kasulu jamani. Mtujuze.
Mahakama ya kuu kanda ya tabora imeitupa kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa jimbo la kasulu vijijini Bi Agripina Buyogera
Jaji Haruna Songora amesema kesi hiyo imetupwa kwa kuwa upande wa walalamikaji wameshindwa kuwasilisha ushahdi wa madai yao
Kesi hiyi ilifunguliwa aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Bw Daniel Nsanzugwanko akidai kuwa Bi Buyogera alimtangaza kwmaba yeye ni mchawi na kuwa alifuja shilingi milioni 31 za mfuko wa jimbo
Baada uya kutolewa hukumu hiyo wafuasi wa Bi Buyogera wamembeba juu na kuondoka naye mahakamani hapo
Kwa upande wake Bw Nsanzugwako ameahidi kukata rufaa kupinga hukumu hiyo Mahakama ya kuu kanda ya tabora imeitupa kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa jimbo la kasulu vijijini Bi Agripina Buyogera
Jaji Haruna Songora amesema kesi hiyo imetupwa kwa kuwa upande wa walalamikaji wameshindwa kuwasilisha ushahdi wa madai yao
Kesi hiyi ilifunguliwa aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Bw Daniel Nsanzugwanko akidai kuwa Bi Buyogera alimtangaza kwmaba yeye ni mchawi na kuwa alifuja shilingi milioni 31 za mfuko wa jimbo
Baada uya kutolewa hukumu hiyo wafuasi wa Bi Buyogera wamembeba juu na kuondoka naye mahakamani hapo
Kwa upande wake Bw Nsanzugwako ameahidi kukata rufaa kupinga hukumu hiyo