You'd conclude so hasa ukihusisha na hukumu iliyomvua ubunge Lema. Unless kila jaji awe anaamua anavyoona yeye na si kufuata matakwa ya kisheria.Kwa hiyo mahakama imethibitisha kuwa jamaa ni mchawi?
hongera zake mama buyogera na pia hongera kwa jaji songoro nafahamu utendaji wake dhahiri na ni jirani yangu kabisa.
.... Upinzani tunaupenda lakini kuna watu wanapotosha wananchi, angekuwa kashinda wa ccm coment zote zingekuwa za matusi na kumtukana jaji aliehukumu kesi, ndo maana mimi sina chama labda katiba ipitishe mgombea binafsi ndo nitamuunga mkono.... Inakuaje jaji akitoa hukumu mpinzani akashinda ionekane ndo kasoma na aliyetoa hukumu ya ccm kushinda aonekane hajasoma?
Hongera Agripina ukweli kesi hiiilikuwa haina mashiko lakini pia jaji aliesikiliza kesi hii ni miongoni mwa majaji wachache waadilifu wenye kumuogopa mungu kwa wanaomjua jaji HAruna songoro watakubaliana nami.Mahakama kuu kanda ya Magharibi leo imesoma hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili mbunge wa jimbo hilo Bi Agripina Buyogela (NCCR-MAGEUZI).
Kesi hiyo ilifunguliwa na mgombea ubunge jimbo hilo kwa tiketi ya CCM ndg. Daniel Nsanzugwanko ambaye pia alikuwa mbunge(2000-2010) kwa madai kuwa Bi Buyogela alimtuhumu jamaa kuwa ni mchawi na watu wasimchague na kwa kipindi alichokaa bungeni kwa miaka kumi hakuna alichowafanyia wananchi wa kasulu zaidi ya kuendeleza ushirikina wake.
Mara baada ya hukumu hiyo mgombea wa CCM amesema atakata rufaa.
Hongera Agripina ukweli kesi hiiilikuwa haina mashiko lakini pia jaji aliesikiliza kesi hii ni miongoni mwa majaji wachache waadilifu wenye kumuogopa mungu kwa wanaomjua jaji HAruna songoro watakubaliana nami.