Hukumu ya kesi jimbo la Kasulu; Agripina (NCCR) Ashinda

February

Member
Nov 15, 2011
90
21
Wadau kuna taarifa kuwa hukumu ya kesi jimbo la kasulu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa nccr mageuzi bi agripina buyogera itasomwa leo. Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kutujuza kitakachokuwa kinaendelea ingekuwa vema. Pamoja kigoma bado ipo nyuma kimaendeleo sidhani enternet haijafika huko kasulu jamani. Mtujuze.
Mahakama ya kuu kanda ya tabora imeitupa kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa jimbo la kasulu vijijini Bi Agripina Buyogera

Jaji Haruna Songora amesema kesi hiyo imetupwa kwa kuwa upande wa walalamikaji wameshindwa kuwasilisha ushahdi wa madai yao

Kesi hiyi ilifunguliwa aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Bw Daniel Nsanzugwanko akidai kuwa Bi Buyogera alimtangaza kwmaba yeye ni mchawi na kuwa alifuja shilingi milioni 31 za mfuko wa jimbo

Baada uya kutolewa hukumu hiyo wafuasi wa Bi Buyogera wamembeba juu na kuondoka naye mahakamani hapo

Kwa upande wake Bw Nsanzugwako ameahidi kukata rufaa kupinga hukumu hiyo Mahakama ya kuu kanda ya tabora imeitupa kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa jimbo la kasulu vijijini Bi Agripina Buyogera

Kwa upande wake Bw Nsanzugwako ameahidi kukata rufaa kupinga hukumu hiyo
 
Mgombea wa ccm aliyepinga matokeo anaitwa sazugwanko alipata kuwa naibu waziri wa kikwete. Analalamika eti alitukanwa. Sasa kama babazima unashindwa na mwanamke kwann usitukanwe? Me nadhan majaj watazingatia haki badala ya ufundi
 
uko sahihi
 
Waombe radhi watu wa Kasulu kwa matusi yako hapo juu.
 
Magamba huwa wanazikomalia kesi za CDM. Hii sidhani kama wameweka Jaji wao. Nina uhakika haki itatendeka kwa bi Agripina kuendelea na Ubunge wake.

Na hilo baba nalo halioni aibu kushindwa na ka-binti mpaka likajidhalilishe mahakamani!
 
Mgombea wa ccm aliyepinga matokeo anaitwa sazugwanko alipata kuwa naibu waziri wa kikwete. Analalamika eti alitukanwa. Sasa kama babazima unashindwa na mwanamke kwann usitukanwe? Me nadhan majaj watazingatia haki badala ya ufundi

kwanza kabla alikuwa nccr makamba akamshawish akajiunga na magamba kwa awamu kwanza ya jeykey alipata ubunge awamu ya pili wakamnyima.huyu mzee na uakika amevuna alichopanda miaka yote yeye yupo hapa tabata nyumbani kwake anawaacha wanakasulu wanataabika.
 
magamba huwa wanazikomalia kesi za cdm. Hii sidhani kama wameweka jaji wao. Nina uhakika haki itatendeka kwa bi agripina kuendelea na ubunge wake. Na hilo baba nalo halioni aibu kushindwa na ka-binti mpaka likajidhalilishe mahakamani!

huyu ni mama siyo ka-binti anakaribia 50yrs
 
Wadau kuna taarifa kuwa hukumu ya kesi jimbo la kasulu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa nccr mageuzi bi agripina buyogera itasomwa leo. Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kutujuza kitakachokuwa kinaendelea ingekuwa vema. Pamoja kigoma bado ipo nyuma kimaendeleo sidhani enternet haijafika huko kasulu jamani. Mtujuze.

KWANI MZEE WA UCHOYO SIKU HIZI YUKO WAPI?
NSANZUGWANKO stands for NIMEKUTA UCHOYO
 
Mgombea wa ccm aliyepinga matokeo anaitwa sazugwanko alipata kuwa naibu waziri wa kikwete. Analalamika eti alitukanwa. Sasa kama babazima unashindwa na mwanamke kwann usitukanwe? Me nadhan majaj watazingatia haki badala ya ufundi

Hilo jamaa kweli mbumbumbu lina shindwa na demu jamani!!! Aibu gani hii!!!. Nadhani jaji ataitupilia mbali hoja yake.
 
Nilichogundua, uchaguzi wa 2010 magamba hawakuamia macho na masikio yao kwa kupoteza majimbo machache, kutokana na ka upepo kalikokua kamepita. Ila sasa kutokana na iki kimbunga kilichopo, 2015 watapata strock..., waliochungulia mbali ka bi kiroboto, mapema wametangaza hawatagombea tena, kuepuka fedhea, ila wapo wengi sana watadhalilika.... Na kama ndo huu mtindo wao wa kufungua kesi, i am sure tutakuwa na kesi kama 200 hivi...
 
Mahakama ya kuu kanda ya tabora imeitupa kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa jimbo la kasulu vijijini Bi Agripina Buyogera

Jaji Haruna Songora amesema kesi hiyo imetupwa kwa kuwa upande wa walalamikaji wameshindwa kuwasilisha ushahdi wa madai yao

Kesi hiyi ilifunguliwa aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Bw Daniel Nsanzugwanko akidai kuwa Bi Buyogera alimtangaza kwmaba yeye ni mchawi na kuwa alifuja shilingi milioni 31 za mfuko wa jimbo

Baada uya kutolewa hukumu hiyo wafuasi wa Bi Buyogera wamembeba juu na kuondoka naye mahakamani hapo

Kwa upande wake Bw Nsanzugwako ameahidi kukata rufaa kupinga hukumu hiyo Mahakama ya kuu kanda ya tabora imeitupa kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa jimbo la kasulu vijijini Bi Agripina Buyogera

Jaji Haruna Songora amesema kesi hiyo imetupwa kwa kuwa upande wa walalamikaji wameshindwa kuwasilisha ushahdi wa madai yao

Kesi hiyi ilifunguliwa aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Bw Daniel Nsanzugwanko akidai kuwa Bi Buyogera alimtangaza kwmaba yeye ni mchawi na kuwa alifuja shilingi milioni 31 za mfuko wa jimbo

Baada uya kutolewa hukumu hiyo wafuasi wa Bi Buyogera wamembeba juu na kuondoka naye mahakamani hapo

Kwa upande wake Bw Nsanzugwako ameahidi kukata rufaa kupinga hukumu hiyo
 
hongera mama kwa ushind siku zote sehemu yoyote niko upinzani tu hata kama sio cdm
 
huyu jamaa hata kama angeshinda kesi asingepata ubunge kule kwa aliyowafanyia wale wananchi.
 
Back
Top Bottom