Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,225
- 12,947
Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba mibovu isiyo na tija kwetu ila ina tija kwa mataifa mengine.
Moja ya changamoto kuu ambayo hukumu hii ikitoka itayumbusha Taifa letu ni shtaka la kama mchakato wa kuipata DP World ulizingatia sheria ya manunuzi ya umma (Public Procurement Act)?
*Mawikili wa Serikali katika kujitetea kwao pale Mahakmani wao walibainisha kuwa mkataba ulikuwa kati ya nchi na nchi na hivo haikuwa na maana yoyote kutumia sheria hii ya Public Procurement Act! Ijapokuwa ni kweli ni mkataba kati ya Tanzania na Dubai ila bado kuna kitu unaweza ukadhani kuwa kuna uwezokano kubwa kuwa ililazimishwa itumike IGA ili kukwepa kutumia sheria ya Public Procurement Act na ndiyo maana ata katika mkataba wenyewe huoni Dubai ikiwa na majukumu yoyote. Je! Maamuzi ya Mahakama yatafunika kombe huyu mwanaharamu apite?
*Ni kweli kuipata DP World haukuzinatia sheria ya manunzi ya umma ila yalikuwa mapendekezo ya Mh Rais mwenyewe mara baada ya kukutana na DP world kwenye maonysesho ya DUBAI EXPO 2020 Yaliyofanyika October 1, 2021 na kuhitimishwa April 31, 2022. Janja iliyotumika hapa Mahakama itaifumbia macho?
Changamoto ya pili ni pale Mawakili upande wa wallamikaji kuwasilisha hoja kuwa IGA inakiuka Sheria zetu za ndani hasa ili sheria ya Ulinzi wa Rasimali Asili za Taifa (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENTSoVEREIGNTY) ACT,2017)
Sheria ya Ulinzi wa Rasimali Asili za Taifa (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENTSoVEREIGNTY) ACT,2017) inasema inasemaje?
Licha yakuwa Bunge linaenda kufanyia marekebisho sheria hii hasa katika hivo vifungu nilivozungushia ila kimsingi Hukumu inatakiwa kusema ni kweli IGA imekiuka sheria The Natural llealth and Resowces (Permanent Sovereignty) Act, 2017! Je! Mhakama itatamka wazi kuwa Mkataba huu ni Batili?
Licha ya ukiukaji mkubwa wa sheria zetu ili wasaini Mkataba huu, Je! itasabaisha vuuvugu la mabadiliko ya Katiba na Sheria zetu kufikia hatua ya kushtakiwa viongozi ambao wanasaini mikaaba ya aina hii?
Tuichaie Mahakama iamue kama italisaidia Taifa au italilidimiza kabisa Taifa ila Historia itaandikwa kuwa walioshiriki kuliangamiza Taifa letu ni watu waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa letu.
Pascal Mayalla