Hukumu ya ICC yamtaja Rostam Aziz mmiliki wa Dowans!

If Rostam Aziz owns, Edward Lowassa champions, Jakaya Kikwete swallows the most juicy part of it all as common Tanzanians pay with their own lives simply for having questioned the public coffers looter project in our neighbourhoods.

The moneys ill-gotten often occur to be too hard to swallow in peace and utmost confidence! We cry for the numerous state-sponsored corruption scandles as a nation, yet the donor institutions strangely still find nothing out of order worth teaching a lesson.
 
Samahani wana JF, sahihisho source ni Gazeti la Nipashe toka mtandao wa IPPMedia. With regards
 
Wananchi Kweli JK Akilipa Dowans Tutapigana Tanzania. JK Wana Cover Up Dowans na Kaharakisha Kuwalipa. Haiwezekani na Hata Mara Moja HATUTAKUBALI. Check ya Kwanza Ikilipwa Dowans Tunataka Inform. na Tutakuwa na Maandamano Taifa Zima. Nafikiri CCM Hawatuelewi Watanzania, Wamewaonea Wazazi Wetu na Sasa Wanataka Kutuonea Sisi Pia. "This is It"
 
If Rostam Aziz owns, Edward Lowassa champions, Jakaya Kikwete swallows the most juicy part of it all as common Tanzanians pay with their own lives simply for having questioned the public coffers looter project in our neighbourhoods.

The moneys ill-gotten often occur to be too hard to swallow in peace and utmost confidence! We cry for the numerous state-sponsored corruption scandles as a nation, yet the donor institutions strangely still find nothing out of order worth teaching a lesson.

Nchi ya ajabu sana, yaani mtu anapewa dhamana kubwa ya Urais alafu tena anageuka kuiibia nchni yake? maajabu sana anafanya huyu Bwana Kikwete, Waamerika watamuumbua hivi karibuni subirini mtasikia mengi tu juu yake weekleaks ni mali ya CIA walipo toa taarifa ya Hosea walikuwa wanamaanisha kuwa kikwete yupo nyuma ya Ufisadi wote wa Tanzani Watanzania kuna mpango kabambe dhidi ya marais bomu wa Afrika unakuja na huyu wa kwetu yumo
 
Mshauri aliyeishauri CCM na Mhe Kikwete kwamba angalau akatuue angalau kwa idadi fulani na kututia kilema ndio tusidai haki KAMCHUUZA kweli kweli katika hili.

Kwa mtaji wa damu hizi za wapigania uhuru wa kweli Tanzania, naona dalili zote kwamba tangu sasa Vijana huenda wakachukulia tu kwamba kumbe mambo si kuandamana tu bali zaidi kujitahidi kutekeleza nao mauaji hivo hivo sawa sawa kiongozi wetu alioyaasisi kule jijini Arusha.

Hatari ni kwamba mbegu hii ilipandwa kirahisi mno nchini mwetu lakini kuja kuing'oa ni mbinde; uhusiano wa polisi na sisi raia ndio basi tena maana tumegundua hawako kwa ajili yetu hata kidogo bali ni maadui wakubwa popote pale walipo.
 
Wengi wetu tulisema na tutaendelea kusema ukweli daima kuwa jk na timu yake ya mafisadi hawana dhamira ya kweli ya kuwaletea maendeleo wananchi zaidi ya kunufaisha matumbo yao na watoto wao. Rais mwenye uchungu na nchi yake anawezaje kulipa fedha za walipa kodi wake kwa kampuni ya matapeli!! Wananchi sasa tuamke, tusimame na kwa pamoja tuseme basi imetosha. Tumechoka kuchezewa na kikundi kidogo cha wahuni wasioitakia mema nchi hii. Tusiogope risasi zao bali tupigane kiume kuikomboa nchi hii kutoka kwenye mikono ya udhalimu.
 
Uhuru upatikane mara ngapi?

Wanaojua maana ya uhuru hawatoshangaa kwamba ni nani nchini Tanzania ambaye hajui kama uhuru haupo siku nyingi.

Lakini kwa wale ambao kwao uhuru maana yake ni kupokea nyaraka kutoka Langcaters House huko miaka ya 60 halafu ndio basi wala hawatokaa waelewe Watanzania tunaposema tunapigania uhuru wa kweli. Ila kwa swali lako inamaanisha kwamba uhuru wa

1. kutoa maoni na hisia kama ilivyoandikwa kwenye katiba yetu ni ruksa na wala hauawi mtu kwa ajili hiyo.

2. Uhuru wa kuchagua kiongozi tunayemtaka ni shwaari wala hamna uchakachuaji.

3. Haki ya ibada bila kulazimisha maoni na au ibada za kikundi kufanywa teule wala sio shida.

4. Uhuru wa kutokubaguliwa kwa misingi ya itikadi za kidini, kisiasa, kijinsia au umri haina adha kwako.

5. Uhuru wa kujumuika pamoja na nyingine nyingi tu sio shida

Kwangu mimi UHURU si kumbadili Mzungu na kuweka rangi nyeusi tu na kukabidhiwa bendera bali UHURU ni mpaka kuonekana kwepo na kuhisiwa kwepo wakati wote.
 
Nchi ya ajabu sana, yaani mtu anapewa dhamana kubwa ya Urais alafu tena anageuka kuiibia nchni yake? maajabu sana anafanya huyu Bwana Kikwete, Waamerika watamuumbua hivi karibuni subirini mtasikia mengi tu juu yake weekleaks ni mali ya CIA walipo toa taarifa ya Hosea walikuwa wanamaanisha kuwa kikwete yupo nyuma ya Ufisadi wote wa Tanzani Watanzania kuna mpango kabambe dhidi ya marais bomu wa Afrika unakuja na huyu wa kwetu yumo

Baada ya Mkapa, sidhani kama kuna atayethubutu kufanya hivyo. Kikwete haiibii nchi, dili la Dowans ni mfululizo wa Richmond ambalo hata Lowassa mwenyewe hafaidiki nalo. Muulize Rostam. Kikwete na Lowassa wanaingizwa kama collective responsibility lkn si walaji. Muulize Rostam.

Hivyo basi ni sawa kabisa isipokuingia akilini kwamba anayepewa dhamana ya nchi anawezaje kuiibia nchi.
 
Yaani hata ICC wameona kuwa kukazania umiliki wa Dowans ni wa Rostam ni upuuzi mtupu.

Au ICC nayo iko kwenye himaya yake? umewashuka!
 
Wananchi Kweli JK Akilipa Dowans Tutapigana Tanzania. JK Wana Cover Up Dowans na Kaharakisha Kuwalipa. Haiwezekani na Hata Mara Moja HATUTAKUBALI. Check ya Kwanza Ikilipwa Dowans Tunataka Inform. na Tutakuwa na Maandamano Taifa Zima. Nafikiri CCM Hawatuelewi Watanzania, Wamewaonea Wazazi Wetu na Sasa Wanataka Kutuonea Sisi Pia. "This is It"

we must disable the police force now so as to demonstrate later without worries of bullets
 
Vyote vitasemwa kama uovu umebarikiwa na serikali nijukumu la wabunge kupeleka hoja bungeni na kuigaragaza Dodoma feb.
 
Baada ya Mkapa, sidhani kama kuna atayethubutu kufanya hivyo. Kikwete haiibii nchi, dili la Dowans ni mfululizo wa Richmond ambalo hata Lowassa mwenyewe hafaidiki nalo. Muulize Rostam. Kikwete na Lowassa wanaingizwa kama collective responsibility lkn si walaji. Muulize Rostam.

Hivyo basi ni sawa kabisa isipokuingia akilini kwamba anayepewa dhamana ya nchi anawezaje kuiibia nchi.

Embu anzisha darasa kwanza la kuutofautisha UTATU wa shetani JK,RA na EL ili posts yako hiyo niweze kuielewa vizuri
 
Yaani hata ICC wameona kuwa kukazania umiliki wa Dowans ni wa Rostam ni upuuzi mtupu.

Au ICC nayo iko kwenye himaya yake? umewashuka!

Hukusikia hiyo mahakama ilihamishiwa bongo na hiyo hukumu ilitolewa wakiwa bongo? we kalagabaho tu.
 
Back
Top Bottom