Houseboy

Status
Not open for further replies.
sio kwel. Kuna k2 umemfanyia akaona huna heshima so kaamua kumalzia kwa kuktongoza. Mpe 2 yaishe.

Kama ukweli unao wewe na ndio muhusika haya bana sibishani na wewe sababu mie ndo najua nachoongea kwa mtazamo wako kama ni hivyo poa
 
cjakuwa mkal ila inabd ujchnguze wp umekosea mpk h'boy kapata ujacr wa kktongoza. Vngnevyo ka2mw na h'band wko akutest,cna hakka km mngekuw mnaheshmiana angektongoza. Kubal kataa kn mahal umeacha hyo nafac ikatokea kw kujua au kutokujua! Au umemvalia khanga ya chna kijana wa wa2 uvmilv ukamshnda?
Sio dhharau ila nimeshangazwa na ujasiri wake lakini wewe Sweetlady mbona unakuwa mkali leo jumapili?? Pole kama nimekuudhi kumtaja houseboy!!!!
 
Ok. Km vp mfkuze then h'band akiulza mwleze ukwel. Au mwambie kwnz kabla hujamtimua. Kuna cku utabak mwnyewe akubake manake keshakutaman so hawez kuacha.
Kama ukweli unao wewe na ndio muhusika haya bana sibishani na wewe sababu mie ndo najua nachoongea kwa mtazamo wako kama ni hivyo poa
 
.....be honest na useme ukweli mama! umemlegezea mahali ......si hivi hivi!

Sijamlegezea hata kidogo labda kama jinsi na tishirt nililovaa shamba ndo kalizimia vinginevyo hajawahi niona nimevaa kanga wala nguo yakuonyesha!!!
 
Ok. Km vp mfkuze then h'band akiulza mwleze ukwel. Au mwambie kwnz kabla hujamtimua. Kuna cku utabak mwnyewe akubake manake keshakutaman so hawez kuacha.

Kunibaka sio rahisi sionani nae kwa sana kihivyo na kazi zake nyingi ni za nje hata ndani huwa anaingia kuchukua kitu na kutoka tu
 
hehehe huyu kidogo anaeleweka. halafu at least katongozwa mashambani huko. lakini yule kule anamtamani baba mkwe laivu bana mpaka ukumbini. hakyanani kesho tunaandamana.

Kuandamana kwanini tena???
 
hehehe huyu kidogo anaeleweka. halafu at least katongozwa mashambani huko. lakini yule kule anamtamani baba mkwe laivu bana mpaka ukumbini. hakyanani kesho tunaandamana.

Hapo kwenye bold umenisoma vizuri wewe. Thanks
 
hehehe huyu kidogo anaeleweka. halafu at least katongozwa mashambani huko. lakini yule kule anamtamani baba mkwe laivu bana mpaka ukumbini. hakyanani kesho tunaandamana.

mmmhhhh huyu hata mie naweza kumpa ushauri kidogo...
lakini yule wa kule si mrembeshei hata kidogo...
mie mambo ya kuchanganya chumvi na maji siya wezi..

vipi na we una mzimia yule house girl wetu wa kiiraqi???hahahah lol
 
Sayitaa!!!! Najua wewe muiraqw. Dena kapotelea wapi aisee

sayu Desi..
Dena alienda imboru atarudi kesho lol
mmmmhhh nipe story
house boy ni wale vijana watanashati wenye nywele naisori wa kiiraq
hahahah lol
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom