Houseboy

Status
Not open for further replies.
wewe!! tshrt na jins c unajua inavyopendza? Halaf km inshalah mola kakujalia kasura na kafigure kdgo lazm mkaka wa wa2 adate! Ila mpotezee nje ndan. I mean mfukuze! Aclete mazowea, atamtongozaje boc wke bana??
Sijamlegezea hata kidogo labda kama jinsi na tishirt nililovaa shamba ndo kalizimia vinginevyo hajawahi niona nimevaa kanga wala nguo yakuonyesha!!!
 
sayu Desi..
Dena alienda imboru atarudi kesho lol
mmmmhhh nipe story
house boy ni wale vijana watanashati wenye nywele naisori wa kiiraq
hahahah lol

Oohh sawa ndo maana nimemtumia PM hajibu kabisa. House boy toka Kulee....................mmhhh naogopa kutaja nisijepigwa ban ya mwaka
 
wewe!! tshrt na jins c unajua inavyopendza? Halaf km inshalah mola kakujalia kasura na kafigure kdgo lazm mkaka wa wa2 adate! Ila mpotezee nje ndan. I mean mfukuze! Aclete mazowea, atamtongozaje boc wke bana??

Kasura, kafigure kweli vipo kama waniona vile. Poa nitamfukuza tu ila itabidi kujipanga maana nauli ya treni + Meli mpaka afike huko ni kasheshe kwa kipindi hiki cha Januari na ada zote tulizotoa
 
mmmhhhh huyu hata mie naweza kumpa ushauri kidogo...
lakini yule wa kule si mrembeshei hata kidogo...
mie mambo ya kuchanganya chumvi na maji siya wezi..

vipi na we una mzimia yule house girl wetu wa kiiraqi???hahahah lol

hehehe alifutwa kazi, kaiba handbegi ya waifu. natafta mtusi mara hii, watanikoma kijijini.
 
Huyo ndo kabisa mtusi??? Utavunja ndoa K, shauri yako wewe tafuta wengine hao achana nao mbona wako wengi tu
 
tehe tehe tehe! Mh sa shost ndo kusema huyo h'boy ulimchkulia wp? Manake ngastuka na hayo mausafr ya tren & meli. Anatokea bahar ya shamu nn? Manake mh! Hongera kw kujalwa kasura na kafgure mwaya!
Kasura, kafigure kweli vipo kama waniona vile. Poa nitamfukuza tu ila itabidi kujipanga maana nauli ya treni + Meli mpaka afike huko ni kasheshe kwa kipindi hiki cha Januari na ada zote tulizotoa
 
Anatokea kwenye ndizi nyingi na senene naogopa kutaja wilaya na kijiji
 
Mpaka hapo wewe mwenyewe hujui nafasi yako katika nyumba yako, ndo maana hboy wako anakuona kama hgirl. Haiwezekani mwanamke anaejiheshim na kushika wajibu wake kama mama wa familia azoeleke kiasi hicho kwa wafanyakazi wake. Sipati picha anaanzaje, na kwanini hujamfukuza ulipona anavunja heshima, unahaki ya kumtimua tena hata mbele ya mumeo, ukiwa mama wa nyumba acha ulegelege bwana wewe.
 
Oohh sawa ndo maana nimemtumia PM hajibu kabisa. House boy toka Kulee....................mmhhh naogopa kutaja nisijepigwa ban ya mwaka

mmmhhh sema tu hakuna shida
we watu wanafumua kuhusu baba mkwe
hawana Ban..
hautapata sema tu hakuna shida ili mie nianze calculation zangu hahah lol
 
Mpaka hapo wewe mwenyewe hujui nafasi yako katika nyumba yako, ndo maana hboy wako anakuona kama hgirl. Haiwezekani mwanamke anaejiheshim na kushika wajibu wake kama mama wa familia azoeleke kiasi hicho kwa wafanyakazi wake. Sipati picha anaanzaje, na kwanini hujamfukuza ulipona anavunja heshima, unahaki ya kumtimua tena hata mbele ya mumeo, ukiwa mama wa nyumba acha ulegelege bwana wewe.
greti thinka, punguza hasira kidogo. wataalam wanasema hasira za ovyo ovyo zinapelekea marazi ya kisukari.
 
AD leo baba mkwe naona imekukera sana??? Pole mwaya ndo utandawazi huo. Kwenye ndizi na senene wengi
 
MMMmmmmmmmhhhh no comment kwa hii post naona kama mmmhhh ngoja niache
 
Kuna mazingira umemwekea huyo house boy bila kujijua yakampa guts za kukuambia hivyo.......acha mambo ya kumuogopa mumeo,mwambie na your decision should be final kwa kuwa wewe ndo unayepata shida na huyo house boy, wewe ni mwanamke wa namna gani unaogopa kumfukuza houseboy na kujieleza kwa mumeo,kama huna sauti kiasi hicho kwa mumeo kuna tatizo pia.......Stupid,yani mijitu mingine bwana haijioni,unamtongoza bosi wako???......:smash:
 
May be u re wright!!!
 
AD leo baba mkwe naona imekukera sana??? Pole mwaya ndo utandawazi huo. Kwenye ndizi na senene wengi

mmmhhh mie mtu atoke ndani ya ndoa aka tie kila mtu kiala kona anyotaka..
lakini isiwe kwenye familia..
haya mambo ya incest nayapiga vita kupita kiasi...
 
Watu siku hizi weshakufa wadudu tu. Anaweza ikawa hajampa nafasi wala nini na jamaa akamwambia ya kumwambia.

Kwani si kila siku tunayaona makazini na majiani?

Mwambie husband wako amtimue habari ishe.
 
mhhh! this is rubish, wee mwanamke unakuja kuomba ushauri hapa jamvini? yaani humuamini mumeo mnayelala kitanda ki1 na kushea mambo yote, unakuja kutusumbua hapa!? labda umekosana na mume wako ndo tungekusaidia lakini unatongozwa na houseboy unakuja kutuomba ushauri! kweli wanawake tuliambiwa tuwapende kwa akili!!!

wakati mwingine lazima tuwe wakali sio kila kitu tuu tuwarembe watu kama hawa, mama Desidii unekosea sana... kumficha mume wako mpaka sasa hivi.. mh na sasa baada ya houseboy kukuambia hivyo ulijibu nn?.... kweli kichekesho

My take:
Umepoteza thamani mbele ya Mfanyakazi wako! anakuwa huru mpaka kuomba mzini uuuuwiiiiiii!!!!?

Ushauri:
Haraka leo jioni mwambie Mume wako, na umshari mume wako mumfukuze haraka sana, hafai, hafai, ndiooo hafai kabisa, na iwe fundisho kwako jenga heshima kwa wafanyakazi wako, hapo umeshapoteza heshima yakoooooo!!

Inanitia hasira hii!!!
 
greti thinka, punguza hasira kidogo. wataalam wanasema hasira za ovyo ovyo zinapelekea marazi ya kisukari.
Big thanks! Mm mwnyewe mtaalam yan uko thawa kabtha hyu thukar itamuhuthu thiku co nyingi. Kwnza aje nmfanyie vpimo huenda tayar anayo!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom