Hongereni wajinga Wafuatao...kwa sikukuu yenu murua.

we acha tu....

nadhani kuna wanaume pochi nao wanaotumia vile visabuni aisee
Hivi logic ya kuweka visabuni vidogo namna ile ni nini? Kama ni gharama kwanini wasinunue limche la mbuni na kukata vipisi vidogo ili watuokolee ndoa zetu?.....biashara ya kujimwagia bia baada ya kutoka kuoga inakera sana asee.

Hahaha...ushaijua style yenyewe au unakubali tu???Shauri lako!:tape:
Kwa umri huu mami, haya macho yameona na kushuhudia mengi.....sidhani kama kuna iliyonipita..........naikubali mama, ni niko tayari kwa lolote....Lini sasa?

Skulimeti pale opposite na BM kuna "maficho" mazuri - Pale unapewa GEISHA!
Hahahaha.....Skulimeti bana, pale nakumbuka nilifumaniana na shemeji yangu ambaye ndiyo alipokea mahari wakati namuoa mdogo wake. Kwa kuwa ye ni mzee wa kanisa, alijikuta ananiita chemba na kuniambia YAISHIE HAPA HAPA KIUME!
 
Kuhusu sabuni nendeni na zenu!Au muwe mnatoa spesho oda!Mmh unajua yote ehh?Basi nikute pale mtoni kama unaelekea Sinoni nikuonyeshe!Usisahau waleti!
 
LIZZY... MAMBO???:wacko: :mwaaah:

yani leo nimeamka vizuri kweli... sijui ni kale kasabuni au nini...:A S-confused1::A S embarassed:

Naomba nipigie simu...:A S-omg::A S-rap::dance::boxing:

if you dont, i will :A S-cry:
 
Hahaha - Case kama hiyo nilikutana nayo Sinza-Mori : Mjomba wa MyWife tulipishana reception tunachukua funguo za Vyumba, halafu wale mabinti tuliokuwa nao ni Marafiki wa Mywife!
 
Hahaha - Case kama hiyo nilikutana nayo Sinza-Mori : Mjomba wa MyWife tulipishana reception tunachukua funguo za Vyumba, halafu wale mabinti tuliokuwa nao ni Marafiki wa Mywife!
Hahahahaha....aisee, nakudai maelezo ya namna huu msala ulivyoisha....nahitaji mauzoefu incase of anything..........

Kuhusu sabuni nendeni na zenu!Au muwe mnatoa spesho oda!Mmh unajua yote ehh?Basi nikute pale mtoni kama unaelekea Sinoni nikuonyeshe!Usisahau waleti!
Wallet inahusikaje tena kwenye haya mambo ya Style Vs Visabuni vinavyonukia?

LIZZY... MAMBO???:wacko: :mwaaah:

yani leo nimeamka vizuri kweli... sijui ni kale kasabuni au nini...:A S-confused1::A S embarassed:

Naomba nipigie simu...:A S-omg::A S-rap::dance::boxing:

if you dont, i will :A S-cry:

Aisee ejimeti mdogomdogo bana, nami niachie huyu mmoja LOL
 
LIZZY... MAMBO???:wacko: :mwaaah:

yani leo nimeamka vizuri kweli... sijui ni kale kasabuni au nini...:A S-confused1::A S embarassed:

Naomba nipigie simu...:A S-omg::A S-rap::dance::boxing:

if you dont, i will :A S-cry:
Hahahaha!MTM kama hako kasabuni ni kazuri kiasi hicho inabidi uongeze matumizi!Nimekupigia naona hupokei...ukimaliza unachofanya niambie nikuletee kasabuni kengine kazuri zaidi ili na kesho uamke vizuri!
 
WanaJF wanaotongoza wajukuu zangu kwa PM, hamjui nina pasiwedi za wajukuu wangu? Nawasikitikia sana.....nawajueni, iko siku ntawarusha hewani.

WanaJF wanaotumia ID na avatar za kike kumbe ni midume ya mbegu.....lengo lenu ni nini hasa?

Wana JF wanaokipinga chama chetu thabiti ISC- Sharing Is Caring

Wajukuu ambao bado hawajaja kwa babu kukaguliwa....yatkayowatokea shauri lenu..... njooni niwafanyie ukaguzi

Mashabiki wote wa Yanga ya Ilala, kwa kushabikia litimu libovu, kwanini msiishabikie klabu bingwa ya Tanzania?

Mashabiki wote wa Chelsii... kwa kufurahia kununuliwa kwa Torres Sick kwa bei ya Mitambo ya Dowans.

Wana JF ambao hawakupiga kura mwaka jana.....mgao wa umeme usingekuwepo

Wana JF wanaomega wake za wenzao......majinga sana nyie

Wajukuu ambao hawanitumii mimi Asprin wanapopata maumivu au ndugu yangu klorokwini kuondoa wadudu wa malaria wanaowanyefuanyefua.

Wale wote ambao hawaamini kuwa kitimoto kinaongeza CD4 mwilini, na kutokuamini kwao kunasababisha foleni kubwa kwa babu Loliondo.

Wale wote ambao hawaamini kuwa bia inaongeza maarifa, inaleta ujasiri, inaongeza damu mwilini, inaongeza kipato cha serikali na kuongeza kipaji cha kuongea kiinglishi.

Mwisho kabisa....we Dena Amsi kwa kutaka kuwafanya wajinga wanaMMU ambao mimi ndiyo mkurugenzi wao.....unamtishia nyau wakati una aleji na panya?

Nyie wooote hapo nawatakieni heri ya siku kuu yenu!....Msinikaribishe pilau lenu.

Babu wa wajukuu wa kike anarudi kitandani kulala.

(Imetolewa na uongozi wa Chama Cha Wasio Wajinga, JF Makao Makuu)

naona ile siku ya wajinga inakaribia...

kuna haka kabwege nimekaona kuleeeeeeeee

Woman says she became pregnant after watching porn in 3D - popjolly.com
 
Back
Top Bottom