Hongereni wajinga Wafuatao...kwa sikukuu yenu murua.

Bado kuna yale makubwa jinga mapenda mitandao ya 'tigo' hayajui ni hatari kwa afya yao,yote nayapongeza yasherehekee kwa amani bana.lol
 
Sikukuuu hii bwana kumbe mnasherehekea kwa staili yenu! Happy sikukuu yenu!
Hebu wasubilie TP MAZEMBE wakupe zawadi wako lidawa!

Sikujua kama unaishabikia timu inayowakilisha ilala, wenzio tunashabikia timu inayowakilisha Tanzania.

Karibu Msimbazi...
 
Sikujua kama unaishabikia timu inayowakilisha ilala, wenzio tunashabikia timu inayowakilisha Tanzania.

Karibu Msimbazi...
Hili ni la msingi... Mkuu kama unataka tiketi sema kabisaaa, friends of simba wamesambaa kila kata kama shule za lowassa
 
Hili ni la msingi... Mkuu kama unataka tiketi sema kabisaaa, friends of simba wamesambaa kila kata kama shule za lowassa

Hahaha.....wajinga wa Yanga eti wameamua kuwa mashabiki wa TP Mazembe....

Yaani unaacha kumsifia mkeo unamsifiwa wa jirani.....Yanga majinga kabisa!...sikukuu yao leo
 
Hahaha.....wajinga wa Yanga eti wameamua kuwa mashabiki wa TP Mazembe....

Yaani unaacha kumsifia mkeo unamsifiwa wa jirani.....Yanga majinga kabisa!...sikukuu yao leo
si kosa lao... we ushaona wapi wanampigia magoti mfadhili, katibu, makamu wa mwenyekiti nk. kwao ni kupiga magoti, ushabiki mandazi na fitna. nadhani kukaa jangwani kumewaathiri kisaikolojia

wavae tu hata za sudan wakitaka
 
Hahaha...age mate umeua mazima.

pale Jangwani nasikia kulikuwa na mradi wa kutafiti mbu wanaoeneza malaria.....Hawa wajinga malaria itakuwa imewapanda kichwani.

Majinga kabisa, sikukuu yao leo.
 
Sikukuuu hii bwana kumbe mnasherehekea kwa staili yenu! Happy sikukuu yenu!
Hebu wasubilie TP MAZEMBE wakupe zawadi wako lidawa!

Tout Puissant Englebert na Lubumbashi? Libala ya Moise Katumbi kola ya maboko likolo..
 
Biya hazihitaji condom
Biya hazichoki
Biya hazisinzii
Hizi biya hizi,
Biya haziendi kwa babu wa loliondo.

Mngekua mnaoa bia kabisa!!!

Ila mkae mkijua bia hazipendi
Bia hazibembelezi
Bia hazina huruma
Bia hazisamehi
Bia hazizai
Bia hazipiki
Bia ..........na kuendelea!
 
Mngekua mnaoa bia kabisa!!!

Ila mkae mkijua bia hazipendi
Bia hazibembelezi
Bia hazina huruma
Bia hazisamehi
Bia hazizai
Bia hazipiki
Bia ..........na kuendelea!

:love:
A%20S-heart-2.gif
Bia is in the AYYYYYEEEER!!!
A%20S-heart-2.gif
:love:
 
WanaJF wanaotongoza wajukuu zangu kwa PM, hamjui nina pasiwedi za wajukuu wangu? Nawasikitikia sana.....nawajueni, iko siku ntawarusha hewani.

WanaJF wanaotumia ID na avatar za kike kumbe ni midume ya mbegu.....lengo lenu ni nini hasa?

Wana JF wanaokipinga chama chetu thabiti ISC- Sharing Is Caring

Wajukuu ambao bado hawajaja kwa babu kukaguliwa....yatkayowatokea shauri lenu..... njooni niwafanyie ukaguzi

Mashabiki wote wa Yanga ya Ilala, kwa kushabikia litimu libovu, kwanini msiishabikie klabu bingwa ya Tanzania?

Mashabiki wote wa Chelsii... kwa kufurahia kununuliwa kwa Torres Sick kwa bei ya Mitambo ya Dowans.

Wana JF ambao hawakupiga kura mwaka jana.....mgao wa umeme usingekuwepo

Wana JF wanaomega wake za wenzao......majinga sana nyie

Wajukuu ambao hawanitumii mimi Asprin wanapopata maumivu au ndugu yangu klorokwini kuondoa wadudu wa malaria wanaowanyefuanyefua.

Wale wote ambao hawaamini kuwa kitimoto kinaongeza CD4 mwilini, na kutokuamini kwao kunasababisha foleni kubwa kwa babu Loliondo.

Wale wote ambao hawaamini kuwa bia inaongeza maarifa, inaleta ujasiri, inaongeza damu mwilini, inaongeza kipato cha serikali na kuongeza kipaji cha kuongea kiinglishi.

Mwisho kabisa....we Dena Amsi kwa kutaka kuwafanya wajinga wanaMMU ambao mimi ndiyo mkurugenzi wao.....unamtishia nyau wakati una aleji na panya?

Nyie wooote hapo nawatakieni heri ya siku kuu yenu!....Msinikaribishe pilau lenu.

Babu wa wajukuu wa kike anarudi kitandani kulala.

(Imetolewa na uongozi wa Chama Cha Wasio Wajinga, JF Makao Makuu)
hii sredi ndio kwanza naona leo. hehehe aspirin bana. ndo maana naona wagonjwa wameongezeka kumbe ulinipaisha?. senks bana
 
hii sredi ndio kwanza naona leo. hehehe aspirin bana. ndo maana naona wagonjwa wameongezeka kumbe ulinipaisha?. senks bana

Tatizo lako mai fellow tablet, kuna baadhi ya wagonjwa unawazidishia dozi kwa makusudi....unalowea hukohuko unaniachia wale ambao wakimeza kidonge kimoja tuu wanapona.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom