Hofu ya Ndumbaro ni mashabiki wa Simba kuvaa OBUNTU BOTHO au kwa Mashabiki wote?

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
805
810
Kwa nini Kauli Hii Imekuja baada ya Kuiona Timu Ya Yanga Kuingia robot faina Club bingwa?

Habari wana JF naombeni Ufafanuzi Wa hili Swala Twende Moja Kwa Moja Kwenye Swala Hili

Linapokuja swala la Club ya Yanga ni Club ya Taifa ipo chini ya Serikali??

Pengine ndiyo swali ambalo Taangu Kauli ya Mh Ndumbaro kusema ukivaa jezi ya Mpinzani uende na passport

Hofu kubwa ya Mh Ndumbaro ni kwa mashabiki wa Simba kuvaa OBUNTU BOTHO au kwa Mashabiki wote?

Wakati haya mambo yanafanywana na viongozi wa Yanga serikali ilikaa kimya,àu walikuwa na Visa za kusafiria ndiyo maana walihusika kiwapongeza hadi wapinzani wa Simba??

Michezo ni Furaha ya watanzania,Kama Utani umekuwa asili ya Simba na Yanga.Serikali imeshindwa kutupa furaha Watanzania maisha, magumu, bando zimepanda bei, Sukari ndiyo usiseme,Umeme wanakata kila siku biashara zinaharibika kodi zinaongezeka, Maji yanakatika bili zinasoma.Watanzania wameamua kujitafutia furaha huku kwenye michezo bado na huku mnawaingilia. Mashabiki wasipoingia uwanja kodi serikali itapata wapi?

Where is definition of freedom kama Serikali inaanza kuwapangia mashabiki nguo za Kuvaa?

Mimi nimenunua jezi ya Mamelodi na kodi ya imelipwa halafu ghafla tunaambiwa tusivae is it make sense?

Huyo mfanyabiashara anayeuza hizo jezi mmembana bandarini kalipa kodi ya Inchi,amesafirisha kwa gharama zake,amelipa leseni ya Biashara, amelipa kod ya Pango. Wakati anakaa aanze kurudisha Pesa zake , anatokea kiongozi anasema hakuna Shabiki kuvaa jezi za mpinzani.Sasa hapa lengo lao kumsaidia mfanyabiashara au kumaliza mtaji wake kabisa??

Okay nimelijua lengo lenu kwa mfanyabiashara wa jezi siyo zuri Lakini Kwanini matamko kama haya hayakutolewa kipindi kile viongozi wa Yanga wakivaa jezi za wapinzani wa Simba??
Tukio linalofanywa na Kiongozi na linalofanywa na Shabiki lipi linauma Zaidi??

Fact always speak, kuna picha mbaya hapa inakuja mbeleni pengine matamko kama haya yanaharibu Taswira ya System.

Hivi kauli ya Ya Waziri ilipaswa kuzungumzwa na Rais Karia Ambaye Rais wa TFF.Lakin Kauli Ya Mh Ndumbaro imeleta sintofahamu na pia mashabiki na Wanamichezo Wengi tumemuwekea Question Mark kwenye hili!
Coz inaonekana kuna Timu inapata upendeleo hapa hivyo kauli kama hizi zinatugawa sisi wanamichezo nakuona kuwa hao mnaosimama upande wao ni watu wenu,Rejea Al Ahly vs Zamalek pale Egypt

Furaha ya watanzania kwasasa ipo kwenye soccer tu huko kwingine wamekubali kuumia.

Sisi waandishi wa Michezo tuna uhuru mkubwa Sana kuandika mazuri na mabaya yanayofanywa Kwenye michezo tofauti na Serikali ambako tunatakiwa kuandika mazuri tu otherwise ukiandika mabaya utatafutwa hadi uvunguni, Tunaomba huku mtuachie kuna uhuru wa kweli kabisa.
 
Hakuna hofu wala nini! Anachokifanya huyo Waziri ni kulipunguzia tu aibu Taifa letu kutoka kwa nyumbu wote wasiojielewa.
 
Ndumbaro ni Simba damu..ila ningekua mimi ningewaruhusu mvae jezi maana mitanzania ni kama mitahaira fulani hivi...

Viongozi wana waburuza tu watakavyo
 
Back
Top Bottom