Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

Status
Not open for further replies.
Halima katumia busara sana, na ninafikiri wanasiasa wange kua kama huyu Dada, mambo yasingekua yanaenda kama ambavyo CDM ilivyo sasa ivi.
 
Wakuja wewe ndio maana ujui Prof. Safari alivyo sema taarifa kwavyombo vya habari kuusu uzushi unaoenezwa kwenye mitandao kuwa sikubaliani na maamuzi ya cc nakubaliana cc kwa asilimia mia kwani kwenye cc me'nimjumbe nanilifanya maamuzi.

Achana na pasco,huyu jamaa cku hizi kafilicka balaa,yaani hajui anachoongea,mara aseme cdm kuna udini,ukabila na uchochezi,akijifanya kujua historia ya Zanzibar akina M.Said wanampa za uso hadi anawakimbia yaani jamaa ni wa kumhurumia tu kwani njaa ni mbaya sana!
 
mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina lema,msigwa na sugu.ni kujidharirisha.

Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.

nikukumbushe tu kuwa mnyika ni msemaji wa chama makao makuu hiyo yeye lazima aonekane kama kajiingiza katka jambo hili. Unajua wengi tunaofutlia kuhusu sakata hili hebu tujiulize zito mbona ameshindwa kukanusha kuhusu walaka unaonesha namna alivyokuwa akipewa pesa na tiss.
 
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii

Tunajua mngependa kweli kweli awe upande wenu kama mnavyotamani sana pia watu wengine makini ndani ya chama na nje ya chama, wawe upande wenu, kwa sababu ndani ya nafsi zenu mnajisikia vibaya kuonekana watu pekee mlionao ni wale wahuni wa Kariakoo na Posta feri ambao nao inabidi muwanunue kwa fedha nyingi ili waimbe nyimbo na kuwapigia ngoma.

Bahati mbaya Halima Mdee hajawahi kuwa Msaliti na Mnafiki (MM). Hajawahi kuwa Msaliti wa coarse wala kuwa Mnafiki kwa wanachama na Watanzania kwa ujumla.

Hawezi kuzungumza tu kwa sababu ninyi mnataka kumsikia. Anazungumza pale ambapo wanachama na wananchi waliomchagua wanataka kumsikia na kupata taarifa sahihi juu ya usaliti na unafiki wa baadhi ya wanachama na viongozi ambao walipewa imani kubwa hapo kabla.

Atazungumzia jambo hili na mambo mengine ya namna hii, mahali popote na wakati wowote, ili kukilinda chama chake dhidi ya usaliti na unafiki, pale anapoona kuna haja ya kufanya hivyo, si kwa sababu ninyi mnataka azungumze ili awafurahishe.

Kwa taarifa yenu, kwenye mikutano ambayo amefanya jimboni kwake hivi karibuni, Mdee amezungumza kwa uchungu mkubwa akiwaelezea wananchi wake namna ambavyo kuna watu ndani ya chama waliopewa nafasi za uongozi na kuaminiwa kama wanachama makini, wamegeuka na kuanza 'shughuli' ya kufanya kazi ya kukibomoa chama kwa kufanya usaliti na unafiki, kwa manufaa ya CCM.

Kwenye mikutano hiyo amesema wazi, CHADEMA haiwezi kuvumilia kukaa na kirusi wakati ambapo wananchi wanaelekea kuipatia dola, kisha wanajitokeza watu kwa maslahi yao binafsi, kwa kutumiwa, wanataka kurudisha mapambanao nyuma, dawa yao ni kuwachinjia baharini.

Ni aibu kuwa na kaka wasaliti na wanafiki.
 
Eti Prof. Baregu alisema busara itumike kuafikiana? Nijuzwe

Inawezekana alikuwa na mtazamo tofauti juu ya hatima ya Zito lakini hiyo haimaanishi kuwa anapingana na uamuzi wa kumwondoa Zito kuwa mwanachama. Ndio maana kunakuwa na vikao ili watu wajadili na kufikia maamuzi ya pamoja bila kujali kama maamuzi hayo yatakuwa na maumivu kwa mtu au watu fulani. Inapozidi sana huwa wanapiga kura ili kupata sio ushindi bali maoni ya walio wengi juu ya hoja husika na baada ya hapo wote wanaendelea kuwa kitu kimoja.
 
Kwa wanaojua msimamo wa Mdee, tunaelewa kwa nini yuko kimya!. Pia ameisha jua madhambi ya Chadema kufanya fault finding cherry picking za kuwahukumu watu kwa makosa yao tuu regardless wameifanyia nini Chadema. Anajijua aliingiaje Chadema, what was her inspiration hadi kujoin Chadema. Wewe umemuona Halima tuu?!. Hujiulizi mbona Prof. Safari yuko kimya?.
Pasco

Halima Mdee hawezi kuwa na hajawi kuwa upande wa msaliti zitto hasa pale zitto anaposaliti haraka ambazo yeye (Halima) anaziamini kuwa mkombozi kwa wananchi, kwenye mkutano wa mwisho aiofanya wakiwa wameambatana na Kamanda Kileo alisema ".... Nasikitika sana kuwa na kaka msaliti, nikiri kuwa amenishawishi kuingia kwenye siasa lakini kwa kuwa amesaliti harakati za kumsaliti mtanzania basi sihitaji ukaka naye"

Akasema tena, "...Kina kileo wamezushiwa ugaidi, viongozi wetu wamezushiwa ugaidi, chama chetu kimezushiwa ugaidi, hiii yote ilikuwa jitihada za kutaka kukipaka matope kuwa ni chama cha kigaidi, halafu kaka msaliti naye akiwa na Mwigulu kwenye kipindi cha TV eti anamuambia kaka msaliti kuwa viongozi wa chadema wanapanga kufanya ugaidi na yeye akijua kuwa ni kongozi wa chadema akakaa kimya, kukaa kwake kimya ilikuwa ni usaliti kwa chama lakini pia ilikuwa ni uonevu kwa waliosingiziwa ugaidi, huyu kaka msaliti dawa yake ni kumchinjia baharini maana CCM wanamtumia na wanajua kuwa CHADEMA hivi ilivyo leo ikifika 2015 kama ilivyo CCM hawatabaki madarakani, kwa hatua ya sasa lazima kirusi ndani yetu kiondolewe..."

Mlikuwa mnataka msimamo upi wa HALIMA MDEE kuhusu usaliti wa Zitto?! Pasco nitumie PM nikutumie audio ya Halima akimchana kipenzi chenu cha usaliti ambaye mission imekuwa aborted.
 
Last edited by a moderator:
Mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina Lema,Msigwa na Sugu.Ni kujidharirisha.

Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.

Msijaribu kuigawa chadema vipandevipande, yale ni maamuzi ya CC sasa ninyi mnajaribu kutaja majina ya watu nadhani ama upeo wenu ni mdogo au ni pia ni sehemu ya mpango wa kukiua chama, tunajua hila zenu. Mdee hana sababu ya kuongea kwasababu yeye si msemaji wa chama
 
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii

Matusi siku zote hushusha heshima ya mtu, Hivyo hivyo mawazo mengine huitaji majibu yenye tusi ndio sentensi ikamilike

Sasa mleta mada huu upuuzi ulio uleta ndo tuseme wewe ni k.............
 
kumbe vichaa wengi sana. Use unatafakari kabla ya kutuma uzi wa kupuuzi kama huu. Wote wakikaa kimya nani atamaliza matatizo haya? Huyo mdee hayumo kwenye cc? Na huko haongeagi? Unafikiri kukaa kimya family yako inapotaka kuangamia ni ushujaa? Hata kama wazazi wako wanatoana meno ndani we unawashuhudia ukiwa mtu mzima unaweza kutoka nje ukajiita shujaa kwa watu kuwa nimewaacha wazazi wauane wenyewe ndani? U must be crazy

huyu msaliti alikuwa anajaribu kuwachanganya wahe.halima na nassary.aliwapeleka na kuwafanyia pati ukingoni mwa ziwa tanganyika.nikamtonya halima.nilianza kumshtukia wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010.akiwa na dr. Slaa alisikika akisema huko kigoma atagombea urais 2015.kumbe alishakuwa gamba.duh!!!watu wa kigoma ni noma.nadhani mnanielewa.
 
Sidhani kama ulipaswa kuandika hayo yoote. Kufanya hivi hamtatui tatizo isipo kua mnachoche. Mngekaa kimya ingekua bora na yasinge fika hapa yalipo.

Tunajua mngependa kweli kweli awe upande wenu kama mnavyotamani sana pia watu wengine makini ndani ya chama na nje ya chama, wawe upande wenu, kwa sababu ndani ya nafsi zenu mnajisikia vibaya kuonekana watu pekee mlionao ni wale wahuni wa Kariakoo na Posta feri ambao nao inabidi muwanunue kwa fedha nyingi ili waimbe nyimbo na kuwapigia ngoma.

Bahati mbaya Halima Mdee hajawahi kuwa Msaliti na Mnafiki (MM). Hajawahi kuwa Msaliti wa coarse wala kuwa Mnafiki kwa wanachama na Watanzania kwa ujumla.

Hawezi kuzungumza tu kwa sababu ninyi mnataka kumsikia. Anazungumza pale ambapo wanachama na wananchi waliomchagua wanataka kumsikia na kupata taarifa sahihi juu ya usaliti na unafiki wa baadhi ya wanachama na viongozi ambao walipewa imani kubwa hapo kabla.

Atazungumzia jambo hili na mambo mengine ya namna hii, mahali popote na wakati wowote, ili kukilinda chama chake dhidi ya usaliti na unafiki, pale anapoona kuna haja ya kufanya hivyo, si kwa sababu ninyi mnataka azungumze ili awafurahishe.

Kwa taarifa yenu, kwenye mikutano ambayo amefanya jimboni kwake hivi karibuni, Mdee amezungumza kwa uchungu mkubwa akiwaelezea wananchi wake namna ambavyo kuna watu ndani ya chama waliopewa nafasi za uongozi na kuaminiwa kama wanachama makini, wamegeuka na kuanza 'shughuli' ya kufanya kazi ya kukibomoa chama kwa kufanya usaliti na unafiki, kwa manufaa ya CCM.

Kwenye mikutano hiyo amesema wazi, CHADEMA haiwezi kuvumilia kukaa na kirusi wakati ambapo wananchi wanaelekea kuipatia dola, kisha wanajitokeza watu kwa maslahi yao binafsi, kwa kutumiwa, wanataka kurudisha mapambanao nyuma, dawa yao ni kuwachinjia baharini.

Ni aibu kuwa na kaka wasaliti na wanafiki.
 
Mleta mada na suporters wake wanatafuta kupandikiza jambo fulani kutafuta thympathy ya mlengwa, lakini wameangukia pua!!
CDM iko imara, haitakubali kumbeba maharuni msaliti ZZK
lazima atoswe!!
Anapumulia pipes za mahakama!!
 
kama unachochea kuni, haziwaki na nibichi.. Baada ya kichapo cha alex tegeta alikuja tunajua aliongea nn.. Huwezi kukosa heshima kwa jamii kwa kusema zzt ni mhaini na msaliti...ccm mnatapatapa na galasa lenu...

zitto alishaondoka chadema siku nyingi.sijui kwa nini watu hawajaelewa hili.huyu ni ccm mwanzo mwisho!watu walikuwa wanashangaa kwa nini cdm walimvumilia hivyo!maswali makubwa ya kujiuliza sasa hivi na kuyapatia majibu ni kwa nini watu wakigoma wanafanya mambo namna hii?ni kwa nini ccm inafanya kila liwezalo na kwa gharama yoyote kuua upinzani nchini?nani anafaidi:wananchi???nini madhara ya muda mfupi na mrefu ya tabia hii ya ccm kwa taifa ???WASOMI MSIKAE KIMYA TUSAIDIENI!VINGINEVYO ELIMU YENU NI MAJANGA.NAWAKILISHA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom