johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,018
- 142,058
Jaji mkeha amesema Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwavua Uanachama Halima Mdee na wenzake ulikuwa sahihi
Maana yake Halima Mdee na wenzake kwa sasa Siyo wanachama wa Chadema
Hivyo Halima Mdee na wenzake wanaenda Baraza Kuu kuomba Kurejeshewa Uanachama wao
Hapa hata Spika angekuwa Babu Tale au Jah people maamuzi ya Jaji mkeha angeyaelewa Chap kwa Haraka 😂
Sabato Njema 😄