Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,129
usilolijua!!!
Ni sawa na usiku wa giza nene...kabla ya kumpongeza huyu bidada mngefanya kauchunguzi kadogo!
usilolijua!!!
Wakuja wewe ndio maana ujui Prof. Safari alivyo sema taarifa kwavyombo vya habari kuusu uzushi unaoenezwa kwenye mitandao kuwa sikubaliani na maamuzi ya cc nakubaliana cc kwa asilimia mia kwani kwenye cc me'nimjumbe nanilifanya maamuzi.
mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina lema,msigwa na sugu.ni kujidharirisha.
Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Mnyika disapointed me katika hili sakata.
Eti Prof. Baregu alisema busara itumike kuafikiana? Nijuzwe
Kwa wanaojua msimamo wa Mdee, tunaelewa kwa nini yuko kimya!. Pia ameisha jua madhambi ya Chadema kufanya fault finding cherry picking za kuwahukumu watu kwa makosa yao tuu regardless wameifanyia nini Chadema. Anajijua aliingiaje Chadema, what was her inspiration hadi kujoin Chadema. Wewe umemuona Halima tuu?!. Hujiulizi mbona Prof. Safari yuko kimya?.
Pasco
Mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina Lema,Msigwa na Sugu.Ni kujidharirisha.
Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
kumbe vichaa wengi sana. Use unatafakari kabla ya kutuma uzi wa kupuuzi kama huu. Wote wakikaa kimya nani atamaliza matatizo haya? Huyo mdee hayumo kwenye cc? Na huko haongeagi? Unafikiri kukaa kimya family yako inapotaka kuangamia ni ushujaa? Hata kama wazazi wako wanatoana meno ndani we unawashuhudia ukiwa mtu mzima unaweza kutoka nje ukajiita shujaa kwa watu kuwa nimewaacha wazazi wauane wenyewe ndani? U must be crazy
Tunajua mngependa kweli kweli awe upande wenu kama mnavyotamani sana pia watu wengine makini ndani ya chama na nje ya chama, wawe upande wenu, kwa sababu ndani ya nafsi zenu mnajisikia vibaya kuonekana watu pekee mlionao ni wale wahuni wa Kariakoo na Posta feri ambao nao inabidi muwanunue kwa fedha nyingi ili waimbe nyimbo na kuwapigia ngoma.
Bahati mbaya Halima Mdee hajawahi kuwa Msaliti na Mnafiki (MM). Hajawahi kuwa Msaliti wa coarse wala kuwa Mnafiki kwa wanachama na Watanzania kwa ujumla.
Hawezi kuzungumza tu kwa sababu ninyi mnataka kumsikia. Anazungumza pale ambapo wanachama na wananchi waliomchagua wanataka kumsikia na kupata taarifa sahihi juu ya usaliti na unafiki wa baadhi ya wanachama na viongozi ambao walipewa imani kubwa hapo kabla.
Atazungumzia jambo hili na mambo mengine ya namna hii, mahali popote na wakati wowote, ili kukilinda chama chake dhidi ya usaliti na unafiki, pale anapoona kuna haja ya kufanya hivyo, si kwa sababu ninyi mnataka azungumze ili awafurahishe.
Kwa taarifa yenu, kwenye mikutano ambayo amefanya jimboni kwake hivi karibuni, Mdee amezungumza kwa uchungu mkubwa akiwaelezea wananchi wake namna ambavyo kuna watu ndani ya chama waliopewa nafasi za uongozi na kuaminiwa kama wanachama makini, wamegeuka na kuanza 'shughuli' ya kufanya kazi ya kukibomoa chama kwa kufanya usaliti na unafiki, kwa manufaa ya CCM.
Kwenye mikutano hiyo amesema wazi, CHADEMA haiwezi kuvumilia kukaa na kirusi wakati ambapo wananchi wanaelekea kuipatia dola, kisha wanajitokeza watu kwa maslahi yao binafsi, kwa kutumiwa, wanataka kurudisha mapambanao nyuma, dawa yao ni kuwachinjia baharini.
Ni aibu kuwa na kaka wasaliti na wanafiki.
Naungana nawe kumpongeza Halima Mdee kwa hili.Amejijengea heshima kubwa sana.
kama unachochea kuni, haziwaki na nibichi.. Baada ya kichapo cha alex tegeta alikuja tunajua aliongea nn.. Huwezi kukosa heshima kwa jamii kwa kusema zzt ni mhaini na msaliti...ccm mnatapatapa na galasa lenu...