Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

Status
Not open for further replies.

MOORIINGEE

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
381
190
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
 
kama baraza kuu litashidwa maamuzi ya kawaida kama haya ,,,basi CDM itakua ni tawi la CCM,,,kama washidwa kuamua kwa umoja dhidi ya kibaraka, msaliti, basi CDM itakuwa si chama makini,,,,,kama watashidwa kufanya maamuzi mepesi kabisa kwa sababu ya kuhogwa je KURA 2015 wataweza kulinda......Kama mimi mwanachama wa kawaida nahasira hivi je mtu ambaye ni baraza kuu itakuaje,,,,,Mimi ningekuwa huko baraza kuu si kumfukuza tu mimi hata MAKOFI angeyapata
 
Kwa wanaojua msimamo wa Mdee, tunaelewa kwa nini yuko kimya!. Pia ameisha jua madhambi ya Chadema kufanya fault finding cherry picking za kuwahukumu watu kwa makosa yao tuu regardless wameifanyia nini Chadema. Anajijua aliingiaje Chadema, what was her inspiration hadi kujoin Chadema. Wewe umemuona Halima tuu?!. Hujiulizi mbona Prof. Safari yuko kimya?.
Pasco
 
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii

uanaume wao unautafsiri vipi?
 
Kwa wanaojua msimamo wa Mdee, tunaelewa kwa nini yuko kimya!. Pia ameisha jua madhambi ya Chadema kufanya fault finding cherry picking za kuwahukumu watu kwa makosa yao tuu regardless wameifanyia nini Chadema. Anajijua aliingiaje Chadema, what was her inspiration hadi kujoin Chadema. Wewe umemuona Halima tuu?!. Hujiulizi mbona Prof. Safari yuko kimya?.
Pasco

Ameliongelea sana hili suala Twitter waweza enda ukaona. Ukishasoma utasema tofauti
 
Humu ndani watu mna upeo mdogo sana wa kufikiri na kuanzisha thread. Hiv cc ya CDM ni kina nani?
 
Mnyika hakupaswa kujiingiza kwenye hili.hakuwa na sababu ya kujiweka kwenye level ya akina Lema,Msigwa na Sugu.Ni kujidharirisha.

Bila kujua,amejishushia heshima katika hili.

Mnyika na hata huyo mdee wasitegemee kupata ubunge katika majimbo ya dar! Anayebisha abishe tu lkn atajua 2015 itakapofika
 
Kwa wanaojua msimamo wa Mdee, tunaelewa kwa nini yuko kimya!. Pia ameisha jua madhambi ya Chadema kufanya fault finding cherry picking za kuwahukumu watu kwa makosa yao tuu regardless wameifanyia nini Chadema. Anajijua aliingiaje Chadema, what was her inspiration hadi kujoin Chadema. Wewe umemuona Halima tuu?!. Hujiulizi mbona Prof. Safari yuko kimya?.
Pasco

Wakuja wewe ndio maana ujui Prof. Safari alivyo sema taarifa kwavyombo vya habari kuusu uzushi unaoenezwa kwenye mitandao kuwa sikubaliani na maamuzi ya cc nakubaliana cc kwa asilimia mia kwani kwenye cc me'nimjumbe nanilifanya maamuzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom