Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Treni za mwakyembe sijui zimeongeza foleni? imekuwa balaa. Siku mbili hizi foleni siielewi kabisa.
Kinacho wauma humu ndani mamluki na wanazi wa cdm, ni kuona utekelezaji wa ahadi za jk, ndio maana wanachangia mpaka povu linawatoka. Ukichukulia uanzishaji wa hii treni + Uanzishaji wa boti ya Bagamoyo - Tegeta - Posta mpya + mabasi yaendayo kasi, hapo foleni itakuwa historia. Hongera JK Mungu akubariki sana
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Vipi ile ya computer kila shule ya msingi na kuijeuza kigoma kuwa Dubai ya Africa?Kinacho wauma humu ndani mamluki na wanazi wa cdm, ni kuona utekelezaji wa ahadi za jk, ndio maana wanachangia mpaka povu linawatoka. Ukichukulia uanzishaji wa hii treni + Uanzishaji wa boti ya Bagamoyo - Tegeta - Posta mpya + mabasi yaendayo kasi, hapo foleni itakuwa historia. Hongera JK Mungu akubariki sana
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Vipi ile ya computer kila shule ya msingi na kuijeuza kigoma kuwa Dubai ya Africa?
Mods, this is ABSURD..seriously,..jana mtu huyu huyu, mada ile ile, content ya KIPUUZI vile vile, what is this?
Huku ni kujaza thread humu JF kusikokuwa na maana!
Pls, fanyieni kazi mambo haya!.....
Mkuu, muwe mnasoma kabla ya kuanza KUULIZA jambo ambalo limejadiliwa. Kuna picha na Video hapo ya Youtube. Kama unatumia Mchina kusoma JF, basi nakupa pole na kusema SI KOSA LAKO.
Watanzania tuwe tunasoma. Kama hukusoma na hukuelewa, basi uliza.
Ukiangalia hiyo PICHA, ni Bus lililopo juu ya RELI. Sasa hizo Train zako za Mwakyembe zinatembelea wapi? Juu ya maji au angani? Au kwenye barabara tu? Au ukisikia TRAM unafikiri ni UMEME tu? Liangalie vizuri tena hilo BUS hapo juu, utaona kuwa hakuna waya wa UMEME hata mmoja. Litakuwa linatumia MAFUTA au GAS. Pia, Bus ni bei rahisi kuliko Train.
kwa hiyo kwenda na kurudi shs 800 na ukifika hapo stesheni wengine wanapanda basi kuelekea makazini sh 200 nyingine kwenda na kurudi so tunazungumzia shs 1200 kwa siku ambayo ni shs 6000 kwa wiki, hapo hujala bado....si mchezo kweli bongo saivi ndio new york haswaa
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA
treni za mwakyembe sijui zimeongeza foleni? Imekuwa balaa. Siku mbili hizi foleni siielewi kabisa.
Unampongeza mama kwa kumnyonyesha mtoto wake!!!! Kweli elimu inahitajika kwa watu kujua nini jukumu la serikali na nini hisani.Kaza buti jk malizia ahadi zako...
mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, clouds walimtukana sana, hasa gerald hando na pj, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, ninawachukia