hivi wanaume mna roho za aina gani

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia x_girl wake yaani jina lake kwamba he"ll be fu***ing her badly rafiki yangu huyo amelia akajiuliza hivi mbona hakumuoa huyo x-girl wake amemtumia miaka karibu minne leo hii anasema hivyo kweli ni haki mi nimeshindwa la kumuambia nahisi ntampa ushauri mbaya hivi mbona baadhi ya wanaume mnakosa roho ya ubinadamu?????
 
Is this some kind of a joke??? Huyo angekuwa rafiki yangu sina cha kumshauri zaidi ya kumtwanga vibao viwili vya nguvu labda atazinduka. Nasikia hasira sana na wanawake wenye lowest self esteem.
Mwisho atamwambia kama unanipenda fanya na mbwa wangu mi nimekuchoka.

Hapo kwenye bold mwambie hivi.. mwenzie hakuolewa kwa sababu ana akili kuliko yeye.. ni bora kuishi single maisha yote kuliko kuolewa na mwanaume kama mume wake.

kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia x_girl wake yaani jina lake kwamba he"ll be fu***ing her badly rafiki yangu huyo amelia akajiuliza hivi mbona hakumuoa huyo x-girl wake amemtumia miaka karibu minne leo hii anasema hivyo kweli ni haki mi nimeshindwa la kumuambia nahisi ntampa ushauri mbaya hivi mbona baadhi ya wanaume mnakosa roho ya ubinadamu?????
 
na nyie wanawake mambo mengine mnajitakia, mwanaume hakutaki...mpaka kakukosea heshima kwa kiwango cha juu..
Halafu unajiliza unajiliza nini?
Miaka 4 tu ina wingi gani?
Watu wanakaa miaka15 na bado mtu anasepa...
Mwambie ajiamini asepe, penzi likiisha limeisha ebooooh
 
amemchoka na anatafuta sababu za kumuacha huyo rafiki yako. tell her to wake and leave the b@$tard. a woman must have standards and self worth not to put up with that s**t
 
Is this some kind of a joke??? Huyo angekuwa rafiki yangu sina cha kumshauri zaidi ya kumtwanga vibao viwili vya nguvu labda atazinduka. Nasikia hasira sana na wanawake wenye lowest self esteem.
Mwisho atamwambia kama unanipenda fanya na mbwa wangu mi nimekuchoka.
Word :poa

Hao ndio wanafanya wadogo zetu waogope kuolewa kwani huwasimulia maisha wanayoishi basi vijana wana conclude kuwa ni bora kuishi single. Kumbe maisha yanakuwa vile unavyotaka yawe.

Ukiwa lege lege lazima utaendeshwa tuuu.. hata uwe na mume mpole vipi utaendeshwa tuuuu.

Kwanza hata huyo mume wake namuhurumia kwani I can imagine atakuwa mke wa aina gani
 
Kamuuliza lini unaondoka aende wapi sasa?
Halafu akamtajia jina la X-GF wake kwamba atam F......lini sasa?
Wakati unatype ebu geuka huku tukuone sura tatizo unatype huku umetuficha sura.
 
Wewe unaushauri mbaya sana. Unaonekana mwanamke gaidi kwanza. Yaani hata jina lako limekaa kishari shari tu. Mungu niepushe na mke kama huyu. Au hujui? Ndani ya ndoa kunatakiwa kuwe na uvumilivu. Mwambie avumilie na amuombe mungu atamsaidia.

Hao ndio wanafanya wadogo zetu waogope kuolewa kwani huwasimulia maisha wanayoishi basi vijana wana conclude kuwa ni bora kuishi single. Kumbe maisha yanakuwa vile unavyotaka yawe.

Ukiwa lege lege lazima utaendeshwa tuuu.. hata uwe na mume mpole vipi utaendeshwa tuuuu.

Kwanza hata huyo mume wake namuhurumia kwani I can imagine atakuwa mke wa aina gani
 
Angemjibu kesho nitakuandikia list ya wanaume ambao they can't wait to bang me, and they promise better performance. But I aint leaving yet hadi niwahakiki na kuwakagua!
Nyau!
 
When you find something difficult for you, just forget about it!
 
hizo ndiyo consequences za kuangalia vigezo vya kupita; unapaswa kumpenda mtu kwa jinsi alivyo... in that way, mapenzi yako kwake hayawezi kuisha no matter what
 
kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia x_girl wake yaani jina lake kwamba he"ll be fu***ing her badly rafiki yangu huyo amelia akajiuliza hivi mbona hakumuoa huyo x-girl wake amemtumia miaka karibu minne leo hii anasema hivyo kweli ni haki mi nimeshindwa la kumuambia nahisi ntampa ushauri mbaya hivi mbona baadhi ya wanaume mnakosa roho ya ubinadamu?????

dah! mpe pole sana aisee...i feel her pain..mwambie their good guys out their lyk me..aachane na huyo mpuuzi
 
aisee hapo wala haitaji ushauri,ni kusepa tu na kuanza maisha upya. hivi kwann uteseke kwa sababu ya mwanaume? yaani mpaka hapi ujue hamna ndoa.

mwambie dada ajipange aanze maisha yake,she can live without him.

mwambieasikilize wimbo wa WHITNEY HOUSTON- ON MY OWN.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom