hivi wanaume mna roho za aina gani

Magaidi ndo tunawafaa wanaume kama nyie!

Wewe unaushauri mbaya sana. Unaonekana mwanamke gaidi kwanza. Yaani hata jina lako limekaa kishari shari tu. Mungu niepushe na mke kama huyu. Au hujui? Ndani ya ndoa kunatakiwa kuwe na uvumilivu. Mwambie avumilie na amuombe mungu atamsaidia.
 
Angemjibu kesho nitakuandikia list ya wanaume ambao they can't wait to bang me, and they promise better performance. But I aint leaving yet hadi niwahakiki na kuwakagua!
Nyau!

hahahaha kuna msemo unasema upele hupewa msikucha
 
duh.....I think there is a bit of a problem here
mimi ni kwamba sijaelewa kitu kabisa kwenye hii thread, yet nimeona watu wanachangia kwa 'ufundi' kabisa

duh hakika tumetofautiana

good luck
 
duh.....I think there is a bit of a problem here
mimi ni kwamba sijaelewa kitu kabisa kwenye hii thread, yet nimeona watu wanachangia kwa 'ufundi' kabisa

duh hakika tumetofautiana

good luck

Hata mimi hii thread imeniacha kwenye mataa....ingawa story ya awali niliisoma..........halafu ghafla watu wwamechangia kwa gadhabu, wakati mwingine kwenye ishu kama hizi ukisikia upande wa pili unaweza kutamani hata kufuta post zako! Mambo ya ndani ya nyumba bwana.

Hebu mwambie aje JF pengine tunaweza kujua kipi ni kipi! si anajua kusoma na kuandika
 
kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia x_girl wake yaani jina lake kwamba he"ll be fu***ing her badly rafiki yangu huyo amelia akajiuliza hivi mbona hakumuoa huyo x-girl wake amemtumia miaka karibu minne leo hii anasema hivyo kweli ni haki mi nimeshindwa la kumuambia nahisi ntampa ushauri mbaya hivi mbona baadhi ya wanaume mnakosa roho ya ubinadamu?????

Nimeshasema sana na narudia tena love someone for who he/she is and not for what he/she have,hii kitu inawagharimu sana nyie wanawake au wanaume mnaooana kwa sababu ya kutaka msifiwe kuwa umeoa/kuolewa na fulani,that's the price.
 
Mimi namshauri dada aendelee kuvumilia. Ndoa zina changamoto nyingi lakini ukiwa mvumilivu utashinda. Yeye si mwanamke wa kwanza anayelia kwenye ndoa tungekuwa na uwezo wa kupita kila nyumba yenye ndoa basi tungesikia vilio vingi sana vya wanawake. Nakushauri muombe mungu kwenye wakati huu mgumu unaopitia usikate tamaa na wala asiondoke kutoka kwenye nyumba ya mume wake maana 'alichokiunganisha mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha' mwache yeye(mume) ndio aende kwa huyo mtu wake anayemtaka. Wanaume wengi wana kasfa mbaya sana kwa wake zao utafikiri walilazimishwa kuoa.
 
kabla hajasepa zake mwambie amuulize huyo men wake kuwa ni kwanini amemuacha na anampenda zaidi X-GF, i think huyo rafiki yako atakuwa anaudhaifu ambao jamaa ameshindwa kumvumilia, mhoji rafiki yako akwambie ukweli juu ya mahusiano yako, tunaweza kuwa tunamhukumu jamaa kumbe mwanamke ndio mwenye matatizo

"its hard to tolerate someones mistakes even if ur madly in luv"
 
mwambie na yeye aanze kutaja jina la ex wake, kwa nini bana teh tena ampotezee kabisa aendelee na hobbies zake zingine

kama kuondoka aondoke yeye mwanaume amwache hapo,
 
kuta za nyumba zinaficha mengi,anaweza asiamini hata tunaomshauri aondoke si ajabu yanayomkuta ni sehemu ya maisha yetu!
 
...dah...!!! ingekua bado hawajaoana ningesema asepe tu japo ngumu sometimes. lakini kwa kuwa wameshakua mke na mume hebu ajaribu kuwashirikisha wazazi au ndugu wenye busara katika kutatua tatizo lao. na je chanzo cha yote hayo ni nini? maana na sie wanawake wakati mwingine mmmmmhhh...! ila nampa pole maana maumivu ya mapennzi yanauma kuliko hata jipu uchungu.
 
wanaume bana ni watu waajabu sana anapopata pakupumzikia anapofuka macho hadi akili,natoa mfano huu:huyo jamaaalikuwa ananites sana anakudharau waziwazi,ananiambia hii ni list ya wanawake niliyowapenda kwa dhati anawataja kama 5mimi sipo.anakwenda kwa mwanamke anatumia simu yake kukupigia alaf anakupa umsalimie,matusi yake ni haya wewe skrepa ushachoka anatukana huyo bwana ,akawa anasema hata kama wewe ni mzuri hebu nicheki mimi sizeeki wala siambukizwi kimwi,ha! ,nikabeba kilicho changu nikapanga sehemu nikaishi peke yangu,aliposikia nimelipiwa posa alimtukana mpaka babayangu akawa kama kachnganyikiwa anaongea hili na lile anapinga ndoa kanisani kashindwa,ndoa ikafungwa na ni miaka mingi sasa mpaka leo haishiwi kutafuta hilina lile kuh mimi.ila huwa namwambia IT NOT TOO LATE TO START AFRESH.USIMUENDEKEZE MTU ILA UVUMILIVU UNAHITAJIAKA UNAPOONA UNADHALILISHWA SANA.QUITE .MTU NILIYEKUTANANAYE UKUBWANA SIMPI NAFASI SANA KUCONTROL MAISHA YANGU ALL IN ALL HAYAJUI SABABU MAISHA HAYAANZII UKUBWANI ILA HEKIMA TU INAHITAJIKA ILA WANAUME WENGINE ANAKUNYANYASA AS IF YAANI YY NDIO KAKUUMBA.our prime purpose in this world is to help others and if you cant help al least dont hurt them.
 
kabla hajasepa zake mwambie amuulize huyo men wake kuwa ni kwanini amemuacha na anampenda zaidi X-GF, i think huyo rafiki yako atakuwa anaudhaifu ambao jamaa ameshindwa kumvumilia, mhoji rafiki yako akwambie ukweli juu ya mahusiano yako, tunaweza kuwa tunamhukumu jamaa kumbe mwanamke ndio mwenye matatizo

"its hard to tolerate someones mistakes even if ur madly in luv"
great 2012 our prime purpose in this world is to help others and if you cant help al least dont hurt them.
 
Last edited by a moderator:
kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia x_girl wake yaani jina lake kwamba he"ll be fu***ing her badly rafiki yangu huyo amelia akajiuliza hivi mbona hakumuoa huyo x-girl wake amemtumia miaka karibu minne leo hii anasema hivyo kweli ni haki mi nimeshindwa la kumuambia nahisi ntampa ushauri mbaya hivi mbona baadhi ya wanaume mnakosa roho ya ubinadamu?????

To be honest, cjakuelewa kabisa naomba unielekeze uzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom