hivi wanaume mna roho za aina gani

Sasa nitapata kichaa!!
Tangu asubuhi ni matatizo tu.. nimeanza na Gwajima na Kova, nimekuja Tanesco na Mhando na Mbunge wetu, Nimesikitishwa kukosa kiwanja Gezaulole... Sasa hili tena... hivi kweli hii nji tutafika? yaani tuna mambo mengi kweli ya kusolve!!!

Mwambie aondoke bana...sasa tumshauri nini huyu naye!!
 
Je rafiki yako yuko kwenye mahusiano halali ya ndoa au ni ya uzinzi?
 
Huyo ni mjinga ndiyo maana hata mwanaume ameona kuishi na pumbavu haifai. Hivi kweli kuna wanawake wenye akili za kizoba hivyo? Rafikio akilize zimeloose connection.

Msaidie kumtoa kwa nguvu! lol
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom