Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
mkuu, unajua ikiongezeka zaidi inakua asilimia mia moja lakini?
Haiwezi kufikia asilimia mia moja kwa sababu ikifikia asilimia hiyo inamaana wote hawajui kusoma.
mkuu, unajua ikiongezeka zaidi inakua asilimia mia moja lakini?
@Fredrick Ishengoma Ni kweli uyasemayo Wanafunzi wengi hawajuwi kusoma wala kuandika Monday, 09 April 2012 20:42Mkuu MziziMkavu, nilisoma hii habari kwenye gazeti la Mwananchi la 09/04/2012, kwamba wanafunzi 5,200 waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu hawajui kusoma wala kuandika. Sasa hili ni janga la kitaifa na ni moja ya sababu Tanzania kufika hapa tulipo, miaka 50 ya Uhuru bado tunaogelea katika umaskini wa kutisha licha ya rasilimali lukuki zinazotuzunguka.
:coffee:
@Sangarara Mkuu hiyo ni hatari kwa sisi tulilyo mbali na Watoto nyie mliye karibu inafika asilimia 100 kwa 100 watoto wenu hawajuwi kusoma wala kuandika Je sisi tulio mbali na Watoto wetu itakuwaje? ahhhh Nchi yetu Hakuna viongozi wakweli jamani .mkuu, unajua ikiongezeka zaidi inakua asilimia mia moja lakini?
@Young_Master Wewe unakataa kwa sababu umesoma mpaka unatumia Computer? hebu soma hili gazete ujionee wewe mwenyewe hali ilivyo hapo kwetu Tanzania.Haiwezi kufikia asilimia mia moja kwa sababu ikifikia asilimia hiyo inamaana wote hawajui kusoma.
Mkuu kipanya kasema watoto wawili kati ya kumi, wakiongezeka siwatafika kumi ya kumi, 100% au nimesahau kwamba hii ni sampling?Haiwezi kufikia asilimia mia moja kwa sababu ikifikia asilimia hiyo inamaana wote hawajui kusoma.
Mkuu kipanya kasema watoto wawili kati ya kumi, wakiongezeka siwatafika kumi ya kumi, 100% au nimesahau kwamba hii ni sampling?