Hivi ni kweli anavyosema kipanya?

KATUNI(702).jpg
 
NA MAAJABU ZAIDI, HAO WASIOJUA KUSOMA WANAFAULU DARASA LA SABA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HII NJI BURE KABISAAA:A S embarassed:
[QUONTE=MziziMkavu;3644626]
kipanya_22-01-2012_20120201_1268247019.jpg
[/QUOTE]
 
MziziMkavu ukitaka kujua kuwa wanafunzi hwengi hawajui kusoma wala kuandika nenda shuleni, hasa za kata kisha omba kufundisha kidato cha kwanza.
 
Last edited by a moderator:

@gfsonwin inakuwaje hao wanafunzi wanafika mpaka kidato cha kwanza hawajuwi Kusoma wala kuandika?ina maana walipitishwa vipi mpaka kufika kidato cha kwanza toka darasa la kwanza? Ame kweli Tanzania Elimu imeshuka sana.
 
It is a long story MziziMkavu but wengine walwah kuulizwa wakajibu kuwa waalim wa darasa la saba waliwaambia watoe hela kisha wapewe majibu siku ya mtihani wa taifa. kinachofanyika ni mwanafunzi kupew booklet yenye majibu yote na yeye kukopy tu. ishau ni mwambie asome aibu au msomee aandike hajui. kuna mmoja alikataa mwenyee shule akasema mm siwez nimelazimishwa kwani sijui kusoma wala kuandika. aliapoulizwa zaid akasema baba alitoa hela akampa mwalim mimi nikabadilishiwa mtihani. sasa tell me tunakuza au tunauua hii elimu?
 
@gfsonwin Taifa linapokwenda huko ni pabaya sana inafika mpaka walim wanakuwa nao ni mafisadi?tutaendelea mbele kweli au ndio tunarudi nyuma?
 
Back
Top Bottom