Mh kumbe? Cji tena kwenye kideti cha leo!
alikuwa anataka akuone fizikali sa alipokuona UKAWA NJE YA VIWANGO na ndo mana akakupotezea
ungekuwa umemvutia basi angekuwa wa kwanza kukuchek..umefika dia?lala salama zngekuwa nyingiiiiiiiiiiiii
....alivyokuona akajisemema kimoyo moyo mtu mwenyewe nayeongea nae kwenye cm ndo uyu puuuuuuuuuuuuu ...anion wala kuniskia tena bastad,,.....!!!
ni michezo tu iyo km ile mnayotuchezeaga wakike so tuliza jambia mtu usipanmge kuchinja meza maumivu pata panadol ujisikilizie uanze upya..
unanidai bumunda mpenzi
KESHO NALITAKA.
kanifurahisha uyu dada alivyomwacha solemba jamaa akabak anambwela mbwela tu....teh teh rahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Ili baadae unipotezee! Nimekujua wewe unapenda masharobaro! Cji tena!utakuja tu
Ili baadae unipotezee! Nimekujua wewe unapenda masharobaro! Cji tena!
Ngoja tuhela twangu nitunywee ulanzi..!
hahahahahaaa maana viwango duni :car:,kesho kukikucha unalikuta mlangoni
Hahaha ngoja wenyewe waje hapa wakusikie!ahh apana
mi mashalobalo wa kaz gan?
ao hawana nafasi kwangu
hawajui mapenz,wanaomba ela,wanapenda kullelewa,HAWAJUI SHUGHUL...wnapaka poda+wanja mi spak ahh si watak mie
mi nawataka wanaume km wewe...(mwisho wa mwez u) so wewe njoo tu mpz..
Sijaelewa,,yani mmekutana afu hamjaonana???
Hahaha ngoja wenyewe waje hapa wakusikie!
big up!!!mdada aliona chalii atamyeyusha.Ila namshauri akaze kamba kuna siku huyo mdada atagombana n a mtu wake then newcomer ata take advantageteh teh apo chacha...unaenda kukutana na bnt wa kiislamu ushung 24 7 eti wajipigilia kata k ..do u thk atakupa nxt page..?
unaenda kumit na dada do afu we wavaa kiluga luga km mwimba kwaya ya bukuku wat do u thk?
mdada wa salun afu we wampigisha stor za dowans ,mwakyembe,bod ya mikopo ahh unazan atakutamana tena?
waenda kukutana na mdada class kaenda shule kabukua afu kumit nae tu waanza kumpigisha stor za yaan ndg zangu mimi yaan wananitesa,boss wangu kaninyima trip...ahh ataona uyu ubongo wake tambala..atasepa
B CAREFUL UNAPOENDA KUKUKUTANA NA MSICHANA ..soma anataka kusikia nini
unakuja kwangu afu et unaanza na ..ahh jaman rose matairi yamepanda bei skuizi yaan tyre moja ni lak 6 ahh NTAKUNUNIA IMMEDIATELY...
BYEEEEEE:car:
Dah kweli leo masharo wamepata habari yake!akina nan?
masharobaro?au km wew?
km masharobaroi wala hawanitish ..wamelegeaaaaaaaaaaa kila idara kwenz moja chalii na ivi nachukua koz kwa fransis cheka....mbona watanikoma umu ndan..:suspicious:
mjanja mimi
baunsa mimi
hakimu mimi
mtuhumiwa mimi ..UTANAMBIAJE SASA?
POLIC MIMI MWIZI MIMI...:car:
teh teh apo chacha...unaenda kukutana na bnt wa kiislamu ushung 24 7 eti wajipigilia kata k ..do u thk atakupa nxt page..?
unaenda kumit na dada do afu we wavaa kiluga luga km mwimba kwaya ya bukuku wat do u thk?
mdada wa salun afu we wampigisha stor za dowans ,mwakyembe,bod ya mikopo ahh unazan atakutamana tena?
waenda kukutana na mdada class kaenda shule kabukua afu kumit nae tu waanza kumpigisha stor za yaan ndg zangu mimi yaan wananitesa,boss wangu kaninyima trip...ahh ataona uyu ubongo wake tambala..atasepa
B CAREFUL UNAPOENDA KUKUKUTANA NA MSICHANA ..soma anataka kusikia nini
unakuja kwangu afu et unaanza na ..eeeh kuiahh jaman rose matairi yamepanda bei szi yaan tyre moja ni lak 6 ahh NTAKUNUNIA IMMEDIATELY...
BYEEEEEE:car:
big up!!!mdada aliona chalii atamyeyusha.Ila namshauri akaze kamba kuna siku huyo mdada atagombana n a mtu wake then newcomer ata take advantage
Hahahahaha! naona umetoa Tip kabisa hapo
Dah kweli leo masharo wamepata habari yake!
Ntacheka tena baadae tukikutana kwenye kidate chetu! Lol
C u there!
amekupotezea huyo, mzee hauna kitambi nini,