huyu jamapamoja nakuwa mwana habari wa sikuyingi lakini naona haitendei haki taaluma yake (katika blog yake) kwani kila siku yeye habari zake nyingi ni zaburudani na starehee tu.utazania yupo kwenye nchi ambayo ina utawara bora, mahitaji muhimu ya wananchi yanapatikana.JE! HUYU NI MTANZANIA KWELI?
Umeombwa uivisit blog yake? staili yake hiyo ndio imemfanya afahamike na afike hapo alipo!
Kama anakukera wewe potezea tu, yeye mwenyewe anajua anachokipata!
Wewe umekurupuka hii nyanja inaelekea hauijui vizuri,katika uandishi kuna magroup matharani waandishi wa habari za uchumi na siasa,michezo na burudani,sayansi na elimu,uchunguzi etc.ila wewe unataka blog yake ifate matakwa yako!yeye anajali wateja wake wanahitaji nini!sasa wewe unalaumu bila kufanya utafiti!huyu jamapamoja nakuwa mwana habari wa sikuyingi lakini naona haitendei haki taaluma yake (katika blog yake) kwani kila siku yeye habari zake nyingi ni zaburudani na starehee tu.utazania yupo kwenye nchi ambayo ina utawara bora, mahitaji muhimu ya wananchi yanapatikana.JE! HUYU NI MTANZANIA KWELI?
CD!!mwandishi niyule anayekusanya habari na kuziweka kwenye chombo chakuwakilisha ktk jamii,radio,tv.gazeti,etc.Na mpiga picha nimwandishi anayeleta ujumbe kwa picha kwakutumia vyombo,tv,gazeti.Nisaidie labda mimi sielewi, mpiga picha na mwandishi wa habari wana tofauti gani??
Jamani kila siku napakua michuzi blog lakini sijawahi kukutana na taarifa za mapambano ya kuiokoa nchi yetu. Kila siku yeye na wasanii, kama ni habari za siasa utakuta ni chama cha ccm tu. JE YEYE BLOG YAKE HAITAKI MABADILIKO HAYA TUNAYOYAONA JAMII FORUMS INAYAPIGANIA?
Stahili za mapambano zipo nyingi sana, kuna wapambanaji wengi wa kutukuka hapo Tanzania na nje ya nchi, bahati mbaya wamekuwa wakipuuzwa. Jaribu kuangalia mtu kama Rev Mtikila, pamoja na madhaifu yake ya kibinadamu ni mapambano mangapi amepigana na system na kufanikiwa kuleta mabadiliko? Mbona 'Watanzania wa kweli' sijawasikia wakimsifu hapa zaidi ya kumbeza kwa vijembe visivyo mashiko?