Hivi Michuzi anaishi Tanzania?

Jamani kila siku napakua michuzi blog lakini sijawahi kukutana na taarifa za mapambano ya kuiokoa nchi yetu. Kila siku yeye na wasanii, kama ni habari za siasa utakuta ni chama cha ccm tu. JE YEYE BLOG YAKE HAITAKI MABADILIKO HAYA TUNAYOYAONA JAMII FORUMS INAYAPIGANIA?

michuzi ndo nani na kwann unasoma iyo blogu yake?? masabaru mkubwa weee!!
 
Huyo Michuzi mnasahau kuwa anafanyia kazi Governement press/publications za Daily News sasa ni ngumu kweli kwenye blog yake aeke mambo yanayopinga serikali...angalau ndo navyoona mimi.....
 
Kichwa cha habari yako kingekuwa na maana zaidi kama ungemaanisha safari zake
Na JK nje ya nchi.Kila anapo enda JK,michizi yupo.
 
Zamani alikuwa anaonekana. Lakni baada ya kugundua kuwa humo Jf hakuna kitu bali, majungu, wivu, chuki, hasira, kashfa, uchochezi na fikira potofu kwamba maendeleo yakapatikana kwa kufanya migomo, maandamano, kashfa kwa serikali , watu kutafuta umaarufu bila kutokwa jasho, akaamua kutupuuza. Sasa kama kila siku mambo ni yale yale: Polisi wameua, Lema shujaa, CCM kwishne, Jk kashindwa kazi, hakuna kulala mpaka kileleweke na mengine mengi ambayo hayana tija kwa mstakabali wa Tanzania unategemea kweli ISSA MICHUZI aweke mambo hayo kwenye blog yake. Tubadilike humu ndani.

Nasubiri matusi zaidi, kutoka kwenu, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hizo siyo njia sahihi za mabadiliko.

hkuna wa kukutukana aliondoka kwasababu zake mwenyewe hasa baada ya kuanzisha blog yake alianza kutoweka taratibu,humu JF ni wewe tu unataka uwe wapi,unachagua wapi unafi,Siasa,jokes,Elimu, nk, ni wewe anaangalia forum unyotaka kushiriki,kingine Michuzi hawezi kuwa huru humu yeye yuko karibu sana na serikali ikiiponda watamshukia sawa sawa na ndio itakuwa mwisho wake,generally his business depend mostly magamba people,
 
mmh Ankali ; thatha.............ndivyo hupenda kusema hivyo Michuzi. Kwahiyo huyo thatha ndo mwenyewe...............
 
Zamani alikuwa anaonekana. Lakni baada ya kugundua kuwa humo Jf hakuna kitu bali, majungu, wivu, chuki, hasira, kashfa, uchochezi na fikira potofu kwamba maendeleo yakapatikana kwa kufanya migomo, maandamano, kashfa kwa serikali , watu kutafuta umaarufu bila kutokwa jasho, akaamua kutupuuza. Sasa kama kila siku mambo ni yale yale: Polisi wameua, Lema shujaa, CCM kwishne, Jk kashindwa kazi, hakuna kulala mpaka kileleweke na mengine mengi ambayo hayana tija kwa mstakabali wa Tanzania unategemea kweli ISSA MICHUZI aweke mambo hayo kwenye blog yake. Tubadilike humu ndani.

Nasubiri matusi zaidi, kutoka kwenu, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hizo siyo njia sahihi za mabadiliko.

Tatizo hamna, we kama vp sign out na kwa nn ulogin while kimtazamo wako hamna kinachokukufaa?
 
zamani alikuwa anaonekana. Lakni baada ya kugundua kuwa humo jf hakuna kitu bali, majungu, wivu, chuki, hasira, kashfa, uchochezi na fikira potofu kwamba maendeleo yakapatikana kwa kufanya migomo, maandamano, kashfa kwa serikali , watu kutafuta umaarufu bila kutokwa jasho, akaamua kutupuuza. Sasa kama kila siku mambo ni yale yale: Polisi wameua, lema shujaa, ccm kwishne, jk kashindwa kazi, hakuna kulala mpaka kileleweke na mengine mengi ambayo hayana tija kwa mstakabali wa tanzania unategemea kweli issa michuzi aweke mambo hayo kwenye blog yake. Tubadilike humu ndani.

Nasubiri matusi zaidi, kutoka kwenu, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hizo siyo njia sahihi za mabadiliko.

huna lolote wewe....tunakujua unaendekeza njaa....ukombozi wa nchi hauhitaji watu kibao so hata ukisepa hakuna tatizo, wamekufa watu muhimu na bado ukombozi ulifanyika itakua wewe na kablog kako....
 
mh..gamba libadilike?...kwanza aanze na kutoka kwenye blog..na aifanye tovuti kamili...

Nafikiri alianzisha tovuti kamili lakini siku hizi hapatikani tena. Ilikuwa inaitwa michuzipost.com: Currently is offline: The Post
 
Ukweli Michuzi(sifuatilii tena blog yake) anafanya kazi kiccm zaidi kuliko kupigania mabadiliko tu ya jumla kisiasa,kijamii(ambayo ndo inaporomoka sana) kwa swala la kijamii bora hata globalpublisherz wanajitahidi kumulika kwa mbali lkn c michuzi
 
Masikini jeuri ni wachache hapo nyumbani.na ndio tatizo la mabadiliko hapo.tunapitwa hata na malawi.njaa ya kupewa sh mia tano kwa siku moja ,alafu ulale na njaa miaka mitano mpaka uchaguzi ungine uje .hayoooooooo, mambo.pole mama tanzania.
 
Jamani kila siku napakua michuzi blog lakini sijawahi kukutana na taarifa za mapambano ya kuiokoa nchi yetu. Kila siku yeye na wasanii, kama ni habari za siasa utakuta ni chama cha ccm tu. JE YEYE BLOG YAKE HAITAKI MABADILIKO HAYA TUNAYOYAONA JAMII FORUMS INAYAPIGANIA?

Kwani hujui kama imeshanunuliwa!! Loh!
 
Tatizo sio Michuzi bali ni nyie mnaojifanya kujua kila kitu, na wenzenu wote ni mbumbumbu. Mbona hakuna hata siku moja kitu positive cha CCM kikaonekana hapa JF? Nyie mnataka Michuzi amwage unga kwa watangaji kibao wanaopanga foleni kutangaza kwake kwa kushobokea jazba za kipuuzi? Mkatae mkubali Michuzi kapiga bao social media zote hapa TZ na anakula hela ndefu kwa kutoendekeza ukuda. Nyie semeni weee yeye anakula bata tu. Ati sitembelei blog yake, kwani nani anakwambia ana shida na mjazibuna anayejua kukosoa tu na kufuata mkumbo wakati hajui faida wala hasara zake? Eti salva hajamwajiri kuwa Ikulu, kwani umesikia ana shida?
 
Hauwezi kumpangia aweke nini kwenye blog yake, kama unataka anzisha ya kwako uweke mambo ya chadema kila siku. Acha kulalamika.
 
Zamani alikuwa anaonekana. Lakni baada ya kugundua kuwa humo Jf hakuna kitu bali, majungu, wivu, chuki, hasira, kashfa, uchochezi na fikira potofu kwamba maendeleo yakapatikana kwa kufanya migomo, maandamano, kashfa kwa serikali , watu kutafuta umaarufu bila kutokwa jasho, akaamua kutupuuza. Sasa kama kila siku mambo ni yale yale: Polisi wameua, Lema shujaa, CCM kwishne, Jk kashindwa kazi, hakuna kulala mpaka kileleweke na mengine mengi ambayo hayana tija kwa mstakabali wa Tanzania unategemea kweli ISSA MICHUZI aweke mambo hayo kwenye blog yake. Tubadilike humu ndani.

Nasubiri matusi zaidi, kutoka kwenu, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hizo siyo njia sahihi za mabadiliko.
Another masaburi at work!!!!!!!! damn it sijui wataisha lini
 
huyu jamapamoja nakuwa mwana habari wa sikuyingi lakini naona haitendei haki taaluma yake (katika blog yake) kwani kila siku yeye habari zake nyingi ni zaburudani na starehee tu.utazania yupo kwenye nchi ambayo ina utawara bora, mahitaji muhimu ya wananchi yanapatikana.JE! HUYU NI MTANZANIA KWELI?
 
Mkuu i salute you! nilikuwa nangoja kwa hamu mjadala kuhusu Michuzi kwa kweli waandishi wa habari inabidi wamfungulie mashtaka Michuzi kwasababu huyu Misupu anawadhalilisha sana
 
Back
Top Bottom