King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,637
18:45 uhoooooooooooooooooooooo
Waziri alitutangazia hakuna mgao mwaka huu, sasa inakuwaje! CCM wasanii sana.
toka saa 3 ndio umeme unarudi sahizi, yaani saa 12 na robo, his is terrible, afazali wangesema tu...kuwa kuna mgawo.
Nafikiri mgao upo,tena ni mkali sana kupita maelezo. Tanesco wamekuwa WasengeNyaji sana kupita maelezo. Wanatusengenyaaa tu utafikiri umeme wenyewe wanatugawia bure.
18:45 uhoooooooooooooooooooooo
Hali hii inashangaza, sisi tulio maeneo ya kinondoni tunapata tabu ya umeme kila siku asubuhi kwa masaa kama 4 hivi. toka jana, ikifika saa 3 kasoro robo wanakata na kurudisha kama saa 6 hivi. hiyo imetokea jana na leo tena imetokea,
Je kuna mgao wa kimyakimya? mbona hawatangazi?
kwani mpaka hayo mafuta yaishe wao hawajui consumption ya hizo machine ili wafanye kuagiza mengine kabla ya stock iliypo kuisha? au ndio yale mambo ya wafanyakazi wa serikali kukalia kucheza karata na kuchck faceboob bila kuangalia majukumu yao? this is terrible!Ni kweli kuna tatizo la umeme lakini sio mgao rasmi. Mafuta ya kuendeshea mitambo ya IPTL yaliisha na wahusika hawakuwa wameandaa kuleta stoock nyingine kwa wakati hivyo kusababisha upungufu kwenye gridi. Mtu wa ndani ya Tanesco anasema wanafuatiliia delivery ya mafuta na hali itarudi kawaida kabla ya mwishop wa wiki hii.
Labda tumwombe Engineer Nsiande atupe ufafanuzi zaidi.
labda kwenu k'nondoni huku wilaya ya temeke yote hakuna umeme toka 12:30ilipofika saa 12.15 kinondoni umeme huooooooooooooooooooooooooooooo!