Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Wadau niko Morogoro mji mzima hakuna umeme ni zaidi ya saa mbili sasa napenda kujua mgao wa umeme umeanza??
mi mwenyewe nashangaa.......Chugga City no stima....nini hii sasa.....?
Ni saku ya pila mfululizo sasa hapa Jiji la arusha na viunga vyake likogizani hakuna meme na Tanesko hawajatoa taarifa yoyote juu ya nini kinaendelea.mwanzo walikata baadhi ya maeneo sasa hivi ni jiji zima.
Mkuu upo mitaa ya wapi? Mbona huku nilipo haujakatwa?