Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

jamani toka jumatano mgao wa umeme umeanza lini naomba mnijuze kwani sielewi umeme unakatika kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa moja usiku. Vp mna habari zozote kuhusu hili?
 
Kaa karibu na mahali kuna RegionHospitali,Central police,Idara ya maji,Benk kuu,
Ukibahatika kupata line ya umeme inayokwenda sehemu hizi we mgao utausikia kwenye bomba tu.
Au nikutafutie nyumba mtaani kwetu sisi mgao tunasikia kwenye bomba tu.
 
Kwani zilihifadhiwa kwenye contena gani? leta habari

Hehehehe .....unataka nikwambie ukaziibe eeh?.....lol!

Mwaya telitaibi mie hata sijui chochote ila nahisi mgao wa umeme umeanza kimya kimya manake hata huku kwetu wanaukata sa2 asubuhi wanaurudisha sa 12 jioni toka jumanne.....ila leo wameuacha toka asubuhi so tunategemea wauchukue mda wowote kuanzia sasa!
 
Last edited by a moderator:

mmhh naona tupo pamoja. tujuzane likitokea
 
Kaa karibu na mahali kuna RegionHospitali,Central police,Idara ya maji,Benk kuu,
Ukibahatika kupata line ya umeme inayokwenda sehemu hizi we mgao utausikia kwenye bomba tu.
Au nikutafutie nyumba mtaani kwetu sisi mgao tunasikia kwenye bomba tu.

aisee ni wapi nikuje sahisahi mimi nina uadui na mgao na hii kodi niliyolipa jana naiachia
 
kibali cha kutangaza mgao napata wapi nipeni mwelekeo kuanza najua je kuisha inakuaje
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom