nIMEPATA TETESI KUWA MATONYA MEKAMATWA NA MADAWA YA KULVYA NCHINI cHINA, NI KWELI?
nIMEPATA TETESI KUWA MATONYA MEKAMATWA NA MADAWA YA KULVYA NCHINI cHINA, NI KWELI?
Taarifa zinazosambaa mitaani Dar ni kuwa amekamatwa na unga
Kama kweli imekula kwake
kwa wachina hata gm moja wanakumaliza! sheria zao huwa hazijadiliwi!Kama ni kweli amekamatwa na Unga basi hiyo ni kesi nzito. Nchi zinazotoa adhabu ya kifo ukikamatwa na unga ni pamoja na China, Singapore, Iran, Indonesia, Vietnam, Philippines, Thailand na Malaysia. Ingawa sometimes inategemea na kiasi alichokamatwa nacho.
Mkuu mi kila nikiona avatar yako nakuwa sina amani hata maneno ya kukwambia nachaguwa...unatisha mkuu, unakaa Temeke nini?
mambo kupendfa easy life lo, pole if its true