Hivi Matonya yuko wapi wadau?

Azikiwe

Senior Member
Nov 13, 2009
191
19
nIMEPATA TETESI KUWA MATONYA MEKAMATWA NA MADAWA YA KULVYA NCHINI cHINA, NI KWELI?
 
yupi?yule ombaomba?
icon9.png
 
Huo ni uzushi ambao ulivumishwa tangu mwezi Februari
 
Wana JF, niko hapa Kisumu saahizi katika mgahawa mmoja nimesikia vijana wanaongea ati Matonya (mwimbaji Bongo flava wa TZ) yuko kizuizini china ana skendo kafanya. je hizi habari ni za kweli?
 
He! imekuwaje jamani hebu tuhabarisheni vizuri wachina hawana masikhara wakimtia mtu mikononi wananyonga tu halafu wanapika supu..heeee!!
 
Nimewasikia wanasema amekamatwa na unga alikuwa ametumwa na pendezyee mmoja wa bongo ambaye kwa sasa anaishi Nairobi. Mungu wangu... wachina wanaua!
 
Ha ha haaa. Mii kwa ushamba wangu bwana nikafikiri ni yule ombaomba mkongwe, Du! taabu kwelikweli
 
Kama ni kweli amekamatwa na Unga basi hiyo ni kesi nzito. Nchi zinazotoa adhabu ya kifo ukikamatwa na unga ni pamoja na China, Singapore, Iran, Indonesia, Vietnam, Philippines, Thailand na Malaysia. Ingawa sometimes inategemea na kiasi alichokamatwa nacho.
 
kwa wachina hata gm moja wanakumaliza! sheria zao huwa hazijadiliwi!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom