Hivi Matonya yuko wapi wadau?

Simsikii popote ama bongo ukivuma mwaka mmoja ndo kwisha habari yako ...
nasikiliza wimbo wa Anita hapa wapi Matonya?
 
Tanga anakula raaah na mkewe, ponda raha kwanza zikiisha tafuta nyingine
 
Alilewa sifa, is over weight/obesity ina msumbua yuko tanga huko anapumua hovyo. Mazoezi ni anasa kwa local superstars
 
Nilidhani umamuulizia matonya original. Je yeye yuko wapi siku hizi? Yule ndo alikuwa icon ya omba omba. PR yake iliuwa kubwa kweli enzi zake.
hata mimi nilidhani anamuulizia huyo.. hivi kweli na huyo matonya orijino yu wapi???
 
yupo pale morogoro kwenye kidaraja town kama unaenda hospitali ya mkoa,ila amezeeka sana kuinuka tu anatumia dakika 5 hadi 10.
 
yupo pale morogoro kwenye kidaraja town kama unaenda hospitali ya mkoa,ila amezeeka sana kuinuka tu anatumia dakika 5 hadi 10.

Matonya yupi, yule ombaomba? Maana siku hizi hata Vasco Da Gama anaitwa Matonya kwa style yake ya kutembeza bakuli!


Jamani nyie kwani Matonya original ndo kaimba bongo Fleva

hebu someni kidogo ka sread mkaelewa
 
Matonya yupo Kenya kama sikosei.......na wewe ulipotea sana......uko mzima?

Preta napendeza wewe ..la lah lah
Vipesa vya kuingia I Cafe vimepungua mama ..life kila siku linakuwa gumu tu..
mzima weye ? missing big tym
 
Tetesi za uchina hata mie nilizisikia sana tu..mwenye info na approved data tujuze msiwe kama spea tairi
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">Matonya yupo Kenya kama sikosei.......na wewe ulipotea sana......uko mzima?</span></font></font>
<br />
<br />
 
Seif shaban aka Matonya aka lodi lofa,aka nginja. Yupo k.ndon studio kwa msela wake sumalanto,alie cheza nae ktk video yake ya kwanza kabisa iliyokwenda kwa jina la MREMBO.kuhusu kuwepo kwake nchini kenya nikweli alikwenda kujifua kidhungu kidogo,na aliludi tanga kabla hajamaliza kujiomea ingrishi kozi ni baada ya kupata msiba wa mdogo wake ally shabani (rip) kuhusu kuwepo kwake uchina kwa sasa si kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom