Hivi Matonya yuko wapi wadau?

hivi hii habari imeshathibitika kuwa ni ya kweli?....mbona itakuwa msala hii, China hawana utani kwa hilo
 
Wakuu

hii habari ilikuja mwaka jana pia na akahojiwa kwenye radio akakanusha, sasa aliyeileta sijui ndio anasikia ya zamani, au ni mpya imetoka leo

LAst time the boy was in Tanga na tozi mmoja naona amejikita kwenye ushororo na laptop mpaka mziki unamshinda

anazidi kulegeza mwili na sauti tu
 
Wakuu

hii habari ilikuja mwaka jana pia na akahojiwa kwenye radio akakanusha, sasa aliyeileta sijui ndio anasikia ya zamani, au ni mpya imetoka leo

LAst time the boy was in Tanga na tozi mmoja naona amejikita kwenye ushororo na laptop mpaka mziki unamshinda

anazidi kulegeza mwili na sauti tu[/QUOTE]

kaka Acid Tafadhali bwana, hapo kwenye nyekundu pana leta hofu mkuu, inamaana anaelekea siko?
 
ndugu yangu kituko

ashakum si matusi... lakini mimi nilivyomuona ilikua imekaa kihivyo zaidi
 
Ingawa sometimes inategemea na kiasi alichokamatwa nacho.

Mkuu Wachina hawana kiasi...the moment wamekushika na unga wanachinja tu, ni hivi juzi tu raia wanaodaiwa kuwa wa Uganda zaidi ya 10 wamepewa hukumu za kifo, kwa makosa hayo hayo, na serikali ya Uganda inahangaika kuwapapatuwa ila wachina ndo kwanza wananoa majambia..shauriyake Matonya kama hizi allegetions ni za kweli ndiyo anamkosa Anita hivyo!
 
Yaani mtu akiamua kumtumikia shetani huwa kama kipofu na kiziwi. Wewe unaona wenzako wamekamatwa na hukumu ndo hiyo ya kifo bado tu mtu anaendelea na hiyo biashara ya kishetani. Lol!
 
Yaani mtu akiamua kumtumikia shetani huwa kama kipofu na kiziwi. Wewe unaona wenzako wamekamatwa na hukumu ndo hiyo ya kifo bado tu mtu anaendelea na hiyo biashara ya kishetani. Lol!

Mbona sijakuelewa??
 
Mkuu mi kila nikiona avatar yako nakuwa sina amani hata maneno ya kukwambia nachaguwa...unatisha mkuu, unakaa Temeke nini?

hahaaaaa haaaa haaaaa kama si tandika, basi itakuwa pemba tehe tehe tehe !!!!!!

Au kwenu kwa wachuna ngozi tehe tehe tehe!!!!!!

Wakuu wangu, asalaam aleikhum
Iwe Pemba, TMK au kwa wachuna ngozi, muda huu shughuli ni moja tu iliyo mbele yetu na mwenye nalo ndo atakula nyama...hapa amani tele
 
Mbona sijakuelewa??

Junius, nilikuwa namaanisha kuwa yeye Matonya kaona wenzake Waganda wamekatwa na hukumu zao ni kifo bado yeye anaendelea tu na hiyo bishara ya shetani katika nchi hiyo ya China.
 
Hivi jamani ni kwa nini haturidhiki nakidogo tunachokipata kwa njia ya haki????
Kama hizo taarifa ni za kweli, Hiyo itakuwa ni tamaa ya Kutajirika kwa muda mfupi. (Always shortcut is a wrong cut)
Tujifunze kutokana na Makosa ya wenzetu tusisubiri mpaka Yatukute coz itakuwa too late
 
Sasa ni kweli au bado ni uvumi tu?maana hata mimi niilipata kusikia lakini nilivyosikia kwamba aliachiwa baada ya ujumbe mzito kutoka kwa wakulu wa hii kaya ndio jet lei akamtema sasa tupeni habari za uhakika
 
angeendelea kuimba tu huko china!!!namuonea huruma atauwawa.maskini naupendaga wimbo wake wa ANITA NA VAIRET.
 
Wana jf, huyu kijana alivumaga sana kwa mziki wake wa bongo fleva kwa jina la MATONYA yupo wapi kwa sasa, mana yupo kimya sana?
 
Wana jf, huyu kijana alivumaga sana kwa mziki wake wa bongo fleva kwa jina la MATONYA yupo wapi kwa sasa, mana yupo kimya sana?

Mara ya mwisho nilimuona Nairobi, nadhani kahamia huko.....
 
Kuna kipindi nilisikia kupitia redio isiyo na heshima kuwa kakamatwa kwa Mao ze Tong na madawa ya kulevya na alitakiwa kunyongwa lakini na sikia kwa kupiga magoti ya mkweree alirudishwa bongo na kesi yake ikayeyuka hivihivi nasasa anapiga tuition za ki madrasa pale mombasa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom