toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?
Jamaa alikuwa na maduka kila kona ya mji, alikuwa na biashara kila kona alikuwa tajiri anayemiliki marange na maV8 alikuwa akitembelea maduka yake na Range.
Jamaa alikuwa na pesa sio poa, ulikuwa ukisikia jina lake basi unajua unazungumzia mtu maarufu na mfanyabiashara mkubwa.
Jamaa yuko wapi sikuhizi? Kipindi kile cha Makonda ni miongoni mwa waloitwa Central kwa tuhuma za Unga!
Yuko wapi? Kaishia wapi?