Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

mkuu ndege si anasa tena kusema huwezi kupanda kama ilipokuwa mwanzo. Subiri rais atujengee international airport kule mwanza na mbeya na sijui wapi kwengine uone kama hatujapanda wote

tumwombe Raisi wetu kwa M/mungu asimchukue kabla hajayafanikisha maisha mazuri kwa kila mtanzania ili nasi wote tufaidi.
 
Kwa taarifa yako kuna watu wana uwezo wa kupanda ndege lakini hawataki.

Kuna mchezaji wa kandanda wa uholanzi dennis bergkamp, kukiwa na mechi ya mbali yeye alikuwa anatangulia kwa treni au meli. Hataki kabisa kupanda ndege.
 
ahsante kwa taarifa.
 
fanya fasta sana mkuu,we usijali disco wala nini unaweza kwenda kununua samaki wa kitoweo na kurudi ili mradi tu uweke historia kuwa umemkwea mwewe.Mia

basi ntajiitahidi nikwee pipa hata mala moja kuondoa mkosi. kumbe ndo maana mambo yangu hayanyoki. yaani mimi na daladala tu siku nikiwa poa napanda bajaj. hii haiwezekani, lazima na mimi nipande. Mia
 
kweli mkuu kwea pipa uondoe nuksi na ghadhabu.
 
Kwetu tunatumia fisi
Ukiona miguu yangu ni kama kotama
Kwa ajili ya kujishikiza kwenye fisi asinidondoshe
Huwa wana speed
Afu maskio ndo mskano

hahahaaaaa....!!!. Mimi nimependa hiyo "mskano". hahahaaa....!!!. Mia
 
Back
Top Bottom