Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

Haha jaman watu mikoani wanachekana hawajah fika dar, sasa unajikaz unafika dar unaambiwa ujawah panda ndege ukijikaza ukapanda ndege litaibuka jingne.
 
Haha jaman watu mikoani wanachekana hawajah fika dar, sasa unajikaz unafika dar unaambiwa ujawah panda ndege ukijikaza ukapanda ndege litaibuka jingne.

Issue ni hapo katika "kujikaza !" unaanzajeanzaje?
 
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:

Kwani ni lazima kupanda ndege?
 
Nikifikiriaga mazingira ndani ya daladala: kubanana, kukanyagana, watu kupiga simu kwa sauti, kuzozana na konda etc huwa nina wonder ndani ya ndege hua kuna mazingira gani, mafiakisiwani nisaidie.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom