mafiakisiwani
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 833
- 616
- Thread starter
- #121
Sijitambi na wala siringishii.Hujitambi ila unaringishia sio?
Sijitambi na wala siringishii.Hujitambi ila unaringishia sio?
Ndio nimewahì,nilikuwa Mafia nakuja Dar. Bado sijawahi kupanda Headkofta.Wewe umewahi?
Ulikua unatoka wapi kwenda wapi?
Duh,unatisha...!
Haya tuambie,hujapanda nini?
Karibu.lol...
Leo nimeongeza siku kwa kicheko.
Ahsante mleta mada na wachangiaji.
Ujanja unakusumbua wewe.Ulimbukeni unakusumbua wewe!
Nasema MBADO.Ungo umeshapanda wewe?
Ukiona manyoya kashaliwa huyo.Unajua kuna wengine baadhi ya mambo kwao ndo mafanikio makubwa kuliko kitu chochote...ni adventure zao na watu wa hivyo utakuta kweli kapanda labda mara 1 tu.
Potezea ni mjadala tu.
Kumbe na wewe hujapanda kama mimi tu. . . .
What a stupid post.What a stupid question !!!
Bora ulivyompa kubwa.Mh kaazi kweli kweli,mkuu kwenye wengi kuna mengi hizi ndo changamoto.
We mpumbavu kweli,mie sio kabila mie Mabutu kabisa.Duu!! I thought we ni mtoto kumbe kubwa jinga... Kabila???
Huna sababu ya kupanda ndege,subiri kufa tu tena.Nipande kwenda wapi?
Nimezaliwa Marangu,Kilimanjaro!
Vidudu,Primary nimesoma Marangu
,Secondary nikasoma hapa hapa Marangu,Chuo Marangu TTC,kazi nikapata hapa hapa Marangu!
Sasa nipande ndege kwenda wapi?
Sio lazima.Kwani ni lazima mtu apande ndege ?
We endelea kuota kama sio kuchipua.Kuna viashiria vya moja kwa moja ulipata bahati ya kumsindikiza nduguyo kupanda ndege, ss wenge linakupanda kila dakika! Ntakufanyia mpango ukakate kiu kwenye zile za kijeshi jipange tu kaka usijetoa machozi!
We kweli kazi unayo,yaani tusijifurahishe kisa!! Hebu tupe wewe suluhisho ya hayo matatizo.Why argue about why people dont fly when you know that your grandparents, uncles, unties and freinds die in the villages all over tanzania and dont have safe drinking water, electricity and so many niceties that you take for granted in the city.
A person starts to live when he can live outside himself.
Duu!! I thought we ni mtoto kumbe kubwa jinga... Kabila???
My 1st expirence ilikuwa Qatar mpaka doha toka doha businesses class Qatar hiyohiyo airbus triple 8 ... doha - newyork via pudong shanghai.
Qatar ndio ilinibikiri miaka Hiyo sitosahau .. Dar kwa juu chafu kinyama..