Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:

Wewe umewahi?
Ulikua unatoka wapi kwenda wapi?
Duh,unatisha...!
Haya tuambie,hujapanda nini?
 
Kwetu tunatumia fisi
Ukiona miguu yangu ni kama kotama
Kwa ajili ya kujishikiza kwenye fisi asinidondoshe
Huwa wana speed
Afu maskio ndo mskano

lol...
Leo nimeongeza siku kwa kicheko.
Ahsante mleta mada na wachangiaji.
 
Mbu shangaa jamaa hapo anawashangaa waiopanda ndege
Kwani kupanda ndege ni jambo la kuja kuongelea kwa watu
Unajua kuna wengine baadhi ya mambo kwao ndo mafanikio makubwa kuliko kitu chochote...ni adventure zao na watu wa hivyo utakuta kweli kapanda labda mara 1 tu.
Potezea ni mjadala tu.
 
Nipande kwenda wapi?
Nimezaliwa Marangu,Kilimanjaro!
Vidudu,Primary nimesoma Marangu
,Secondary nikasoma hapa hapa Marangu,Chuo Marangu TTC,kazi nikapata hapa hapa Marangu!
Sasa nipande ndege kwenda wapi?
 
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:

Kuna viashiria vya moja kwa moja ulipata bahati ya kumsindikiza nduguyo kupanda ndege, ss wenge linakupanda kila dakika! Ntakufanyia mpango ukakate kiu kwenye zile za kijeshi jipange tu kaka usijetoa machozi!
 
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:
No value added!
 
Why argue about why people dont fly when you know that your grandparents, uncles, unties and freinds die in the villages all over tanzania and dont have safe drinking water, electricity and so many niceties that you take for granted in the city.
A person starts to live when he can live outside himself.
 
...bwaaaahhahahahahah!....nipande ndege ili iweje bana?
Soulmate hata mimi nashangaa.....sijawahi na sifikirii but maisha yangu yako poa tu. Huyu mtoa mada itabidi nimwendee PM nijue kulikoni mwe! pengine kuna nnachomiss
 
Back
Top Bottom