Hivi inakuwaje hujawahi kupanda ndege?

My 1st expirence ilikuwa Qatar mpaka doha toka doha businesses class Qatar hiyohiyo airbus triple 8 ... doha - newyork via pudong shanghai. :)
Qatar ndio ilinibikiri miaka Hiyo sitosahau .. Dar kwa juu chafu kinyama..
Kweli umefaidi ndugu yangu.
 
Lazima huyu jamaa atakuwa ni mwanajeshi, amesindikiza maiti ya mjeda mwenzake kwa ndege basi akasahau hata uchungu wa msiba
 
Poor me. . . . Poor you.
Tutabaki kuzishangaa zikiwa zinapita angani.

Waache wapande kwa raha zao! Usafiri wenyewe nasikia lazima ufunge mkanda vinginevyo nguo zinavuka, mambo gani hayo ya kuonyeshana pants na boxer safarini.
 
ha ha ha....sio chombo cha safari za kufurahia hicho...kikileta hitilafu roho inaacha mwili hata kabla hakijafika usawa wa ardhi..hongera mkuu kwa kukwea pipa...kupanda ndege mheshimiwa sio jambo la kujivunia...ningekuelewa endapo ungesema inakuwaje mtu unafikia umri fulani hujapanda mlima kilimanjaro? hivi ndicho kitu cha kujivunia..kwani wazungu wanatoka kwao wanapanda hizo ndege wanakuja kuukwea mlima....wewe umezaliwa hapa umakulia hapa...unaukwea mlima kwa macho...wenzako wanakuja kuukwea kwa miguu..kupanda ndege, meli, treni, hata basi inategemea na mazingira/uhalisia wa shughuli za mtu za kila siku....shughuli zako zote na matumizi yako yote unayapata kijijini au mjini hapo ulipo utapanda meli/basi/ndege/treni uende wapi!!
Wazungu si shwaini.
 
Waache wapande kwa raha zao! Usafiri wenyewe nasikia lazima ufunge mkanda vinginevyo nguo zinavuka, mambo gani hayo ya kuonyeshana pants na boxer safarini.

Hahahaha. . . .kwahiyo usipovaa unachunguliwa?
 
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:

Kupanda ndege mbona sio Starehe ni shida tu zinawafanya watu wazipande!!!!!!! Kama mtu anaweza kufa bila kuzipanda kabisa huyo namfagilia sana.....
 
Back
Top Bottom