Hili bango limenifanya niwaze sana, una maoni gani?

Ngekewa,

Huko Zenji mmefanya kasumba mbaya ya kila mtu asiye Mzenji, mnamwita Mnyamwezi. Siku tukija kushika URAHISI wa nchi hii, tutahakikisha hili neno MNYAMWEZI ndiyo Mtumwa wetu LINAKUFA.

Inabidi siku moja nije niwe na kampuni langu hapo Zenji na niajiri Wapemba. Hapo mtachekea Msalani maana Wapemba wameajiriwa na Mnyamwezi. Na nitakuwa kila sehemu najitangaza kama Mnyamwezi......

1. Mnyamwezi anatafuta wafanyakazi kwenye kiwanda......
2. Mnyamwezi anakualikeni kwenye sherehe..........
3. Mnyamwezi anaistisha mkutano............
4. Mnyamwezi kamfukuza kazi Ngekewa kwa UVIVU na ULEVI kama mjomba wake Ahmada (Bi. Kidude).
Mbona kazi ya kuwatuma wapemba ilishafanywa na Mnyamwezi. Saidi Washoto alikuwa Mkuu wa Mkoa wa mjini Unguja. Unajuwa Wazanzibari si wabaguzi kama watu wanavyofikiri. Ama Mchaga bado hajaongoza Zanzibar lakini Wamakonde,Wasongea na wengine wameshatumika.
 
Nipe mwaliko nije kutembea Mwanza na jisikie huru kuja kutembea Pemba.

Wakaribishwa yakhe, pia nialike nije huko PEMBA na uandae shamba kubwa tukalime maana naona wewe ni mzembe hata wa kufikiria......mie sinaga hiana ndugu yangu na ukinitukana nakuona kama si mkomavu wa hoja ila mwingi wa jazba tuuuuu
 
Walahi sikutanii. Nilipoandika Tobora hilo ndilo jina walilokuwa wakitumia wanyamwezi (huku Pemba msukuma ni mnyamwezi na mnyamwezi ni hivyo tena) na sisi tlizoelea hivyo.


Wewe Ngekewa inabidi utembelee Usukumani na uone watu wanavyolima sio kwenu huko Mchangani watu tunakimbia kimbia na kula chaki tuuu utadhani kuendesha baiskeli kwa lami....Mnalimaga nyie huko au mnacheza tu?
 
Mbona kazi ya kuwatuma wapemba ilishafanywa na Mnyamwezi. Saidi Washoto alikuwa Mkuu wa Mkoa wa mjini Unguja. Unajuwa Wazanzibari si wabaguzi kama watu wanavyofikiri. Ama Mchaga bado hajaongoza Zanzibar lakini Wamakonde,Wasongea na wengine wameshatumika.


Sasa waja vizuri na sio kutukana mtu wangu maana it will end up with no solution, kabiri hoja sio kama ndugu zetu CCM wanataka kutugawa kwa makundi ya dini, mie nakupa hata Thanx nipe na mimi basi yakhe....
 
Daraja ya kutokuwa mjinga kama wewe!

Wasemaje? wewe mtu wangu mie mnyantuzu kama alivyosema Sikonge na kamwe sikubali kushindwa kwa utani tuuuuuuuuuuu, Muulize Sikonge anatujua na matusi nameza bila maji lkn nikikukamata kwenye kumi nanane zangu utakoma...hahahaha karibu matoborwa kwetu basi...nitafuata tende na harua ami
 
Nafikiri ipo haja ya wewe kusoma hayo ninayoandika kwani huo msamiati muendelevu ulikuwa na asili yake? Nikifikiri tuko kwenye mada uliyoianzisha badala yake naona ipo haja tuchepuke hapa twende kwenye jukwaa la lugha pengine huko unaweza ukawa bora kwani kwa mada tunayoizungumza naona umeishiwa hoja.


Msamiati una asili ami? huo mbona mwanawane sasa mnaitumia? au sio maneno ya kisukuma hayo?
 
Ngugu yangu pole kwa kutoweza lolote zaidi ya hiyo mechi lakini usipojuwa lugha basi niulize au uliza watu ili upate kujibu hoja.


Bila mechi CHAPA ng'ombe haipo ami, kipimo cha msukuma dume la mbegu ni mechi, kama kipimo chako kula basi wasukuma tulishafuzu, kama manguvu ndo hivo tena tunawalimia mnakula sasa nini kimebaki?baada ya kazi kiburudisho murua na mechi...napenda sana mechi zaidi ya hela, hasa za kigeni....
 
Ama kweli waislam wa tanzania ni jamii iliyonyuma sana ktk elimu!jitihada za makusudi zahitajika kuinusuru jamii hii!misamaha ya kodi kwa madhehebu ya dini haiwanufaishi chochote kwani huenda hakuna taasisi ya kiislam iliyojenga shule wala hospitali kwa msamaha wa kodi!TAFAKARI
Si sahihi kusema kwamba jamii yetu iko nyuma sana kielimu ila nitakubaliana na yeyote atakayesema kwamba tuna tatizo la uongozi ambapo viongozi wasio makini wameshika hatamu na wanatuvuruga na kutuaibisha.
Ttizo la Libya linaeleweka hata na waarabu wenyewe ambao pia wamechangia majeshi yanayopigana huko Libya baada ya Ghadafi kuanza kutumia silaha kaali kuwaangamiza wanananchi wake. Si sahihi kuwahukumu waislamu wote kwa ujinga wa kijikundi kidogo kama hicho kwenye picha au ujinga wa viongozi wanaofadhiliwa na serikali kama BAKWATA
 
Who is Muslim in Libya Gaddaf or Rebals??

Pamoja na kuishi Ughaibuni miaka nenda miaka nenda rudi bado Lugha ya Malkia Elizabeth na Prince William inanitoa Nishai Choka Mbaya.

"Me Im go to Tanzania for next year and I will enjoye very much this vacetion in populae plecy like Serengeti and about viuw of Kilimanjaro"

Hilo Bango wangeandika Kiswahili ujumbe usingefika??

Usomi ni kuandika Ki British tu??

Wachina wengi hawajui Kibritish lakini wameweza kupeleka mtu Anga za juu wenyewe wanaita SPESI.

SISI kiswahili chetu tukichanganya na Lugha mama ya Kiarabu na hata Kizulu tutakokotoa Intergration na kusoma ile Biology ya ndani kabisa kwa Kiswahili.
 
wafata mkumbo ukute we mwenyewe hamna kitu ***** tu, i hate those wanaoponda waislam... acha unafiki inawezekana hapo ulipo your best friend or your girlfrend ni muislam unafiki huo
Lugha imepinda kama akili zao. Tukiwashauri waende shule wanakasirika. Matokeo yake ndiyo hayo!
 
Hapa lazima uwaze na kichwa kikuume!! inaonyesha ni jinsi gani watu tunavyokurupukia mambo ya watu. Hawakupata muda hata wa kutafakari ni nini wamelenga kwa maandishi yao katika bango!!
Ni hatari sana, Je? wale Walibya waliokufa kwa kushambuliwa na majeshi ya Gaddafi walipaswa kuendelea kuafa?
 
hehehe Gadhafi mie namzimikia maana ni kichwa, Walibya wanaojiita Waislamu wamezidiwa kete na Wamarekani lkn Gaddafi tu kaliona hilo na kakataa kata kata...
 
waislam-tz.jpg

Mbona ujumbe haueleweki sasa? Si bora wangeandika kiswahili tu au kiarabu ? Ati...''THEFT OF WESTERN AFRICA WITHOUT UEROPEAN(EUROPEAN?) ROBBERS IS POSSIBLE''....halafu bendera ya CCM inafanya nini hapo?
 
Ndugu zangu inaelekea Watanzania tunapenda kutafuta njia rahisi ya kupata majibu. Wasiojua kiingereza siyo waislamu peke yao. Watanzania karibu wote, hata wenye degree mbili lugha hiyo bado ni ngumu kwao - kuzungumza au kuandika. Tatizo hili ni kubwa zaidi kwa watu waliopata elimu miaka ya karibuni.

Kitu kinachonikera sana mimi ni ile tabia ya kutojali. Bango hilo ni mfano mojawapo. Kama unataka kuandika kiingereza kwa nini usiulize wale wanaojua. Kuna watu wanasema ujumbe umefika lakini kwa kweli sijui hawa jamaa wanataka kusema nini.

Watanzania tuna sifa ya kuchafua lugha, kiingereza na hata kiswahili. Hatujali. Umewah kusoma "sub-titltes" za filamu za Tanzania? Utazimia. Hicho kiingereza kinachefua kwelikweli. Wanaoandika hizo "sub-titles" ni waislamu? Basi waislamu wanajua kiingereza vizuri kwani wanatumiwa kuandika kiingereza mahali popote pale Tanzania.
 
Wewe Ngekewa inabidi utembelee Usukumani na uone watu wanavyolima sio kwenu huko Mchangani watu tunakimbia kimbia na kula chaki tuuu utadhani kuendesha baiskeli kwa lami....Mnalimaga nyie huko au mnacheza tu?

Unajuwa unanishangaza kunambia kuwa nyie ni mabingwa wa kulima lakini kila siku kilio cha njaa na huku mnakosema hatulimi husikii kufa mtu na njaa.
 
attachment.php


:lol: Naumia mbavu jamani, mwandaaji wa hili bango kapitia madrasat tu au ana ufahamu wa english structure? Hata kutumia microsoft word (tool bar) imemshinda ili kuratibu mjengo wa lugha ya wenyewe?

Hao wamarekani wanavyodharau ukiharibu lugha yao, na hapa ndio kabisaa maana ni kipimo halisi cha ufahamu wa hao walioshika bango.
hahhahaha duuu mkuuu urisahau na hiyo ueropean ndugu zako hapo mmechemka!
 
Mbona ujumbe haueleweki sasa? Si bora wangeandika kiswahili tu au kiarabu ? Ati...''THEFT OF WESTERN AFRICA WITHOUT UEROPEAN(EUROPEAN?) ROBBERS IS POSSIBLE''....halafu bendera ya CCM inafanya nini hapo?
Kwenye muhadhara wa Bakresa manzese waislam walidai kufelishwa makusudi form four 2010 ila kwa sasa nakataa 100%

Rangi ya kijani ina maana kwa dini ya kiislam fanya kugoogle kuna documentaries kibao.Bendera ya CCM ni ya kijani iliwekwa vile kuwavutia waislam.

Mapambo ya misikiti juu kwa njee ni ya kijani

 
kuna baadhi ya viongozi wakishindwa hoja hukimbilia suala la "udini!" Refer JK and his co. United Arab Emirates wamepeleka ndege kadhaa Libya, lakini Gadaffi & co. hasemi chochote dhidi yao!

Arab League wametoa go ahead kuhusu "No Fly Zone" lakini Gadaffi & Co hawawalalamikii! I hate madrassa!

Vinaitwa vyuo hivyo mkuu, ona kiinglish sasa! :lol: :lol: :lol:
 
Back
Top Bottom