Makamu wa Rais kutishia kujiuzulu: Kuna shida mahali!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
1711180701653.png

Dr Philipo Mpango, Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Makamu wa Rais Dk Phillip Mpango majuzi akikagua miradi y Maji huko mkoa wa Kilimanjaro, ametishia kujiuzulu, kama mradi unaenda vibaya.

Hili limenifanya nifikiri: Something is not right!
Mradi husika ni mkubwa lakini ni almost obscure kitaifa maana impact yake ni kanda fulani tu ya nchi na hauna national impact.
Sasa mradi mdogo kitaifa hauwezi kuvuta hisia ya Mkamu wa Rais kutishia kujiuzulu-haya ni maoni yangu.
That is unless there is an underlying situation.

Makamu wa Rais ni kiongozi wa juu kabisa baada ya Rais. Sasa kujiuzulu au kutishia inatupa message gani?

Je, anahisi katengwa
Je, hasikilizwi kwenye Baraza la Mawaziri
Je, kuna Mawaziri wanamdharau?
Je, maelekezo yake hayatekelezwi?
Je, ana communication nzuri na Rais?
Je, ...Je............Je?

Huu ni muda wa matayarisho ya mwaka wa uchaguzi, timu ya Mama Samia iko pamoja kweli?

Kwa vile na mimi ni mdau tu wa nchi hii inaitwa Tanzania, Je na mimi nina kiherere?
Watabaruku!
 
View attachment 2942385
Dr Philipo Mpango, Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Makamu wa Rais Dk Phillip Mpango majuzi akikagua miradi y Maji huko mkoa wa Kilimanjaro, ametishia kujiuzulu, kama mradi unaenda vibaya.

Hili limenifanya nifikiri: Something is not right!
Mradi husika ni mkubwa lakini ni almost obscure kitaifa maana impact yake ni kanda fulani tu ya nhi na hauna national impact.
Sasa meadi mdogo kitaifa hauwezi kuvuta hisia ya Mkamu wa Rais kutishia kujiuzulu-haya ni maoni yangu.
Tt is unless there is an underlying situation.

anacheza na akili za wajinga, nchi ina wajinga asilimia 80
 
Yale ni maneno yasiyokuwa na uzito nje ya kusisitiza jambo lile lifanyike.
Ni kawaida kwa wanasiasa wetu kusema hivyo.
 
View attachment 2942385
Dr Philipo Mpango, Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Makamu wa Rais Dk Phillip Mpango majuzi akikagua miradi y Maji huko mkoa wa Kilimanjaro, ametishia kujiuzulu, kama mradi unaenda vibaya.

Hili limenifanya nifikiri: Something is not right!
Mradi husika ni mkubwa lakini ni almost obscure kitaifa maana impact yake ni kanda fulani tu ya nhi na hauna national impact.
Sasa meadi mdogo kitaifa hauwezi kuvuta hisia ya Mkamu wa Rais kutishia kujiuzulu-haya ni maoni yangu.
Tt is unless there is an underlying situation.

Makamu wa Rais ni kiongozi wa juu kabisa baada ya Rais. Sasa kujiuzulu au kutishia inatupa message gani?

Je, anahisi katengwa
Je, hasikilizwi kwenye Baraza la Mawaziri
Je, kuna Mawaziri wanamdharau?
Je, maelekezo yake hayatekelezwi?
Je, ana communication nzuri na Rais?
Je, ...Je............Je?

Huu ni muda wa matayarisho ya mwaka wa uchaguzi, timu ya Mama Samia iko pamoja kweli?

Kwa vile na mimi ni mdau tu wa nchi hii inaitwa Tanzania, Je na mimi nina kiherere?
Watabaruku!
Huyo Makamu toka Magufuli amtoe pale Benjamin Mkapa Hospital akiwa na mipira ya madripu alipougua COVID-19 ili aongee na wandishi wa habari, hajawahi kurudi kwenye utimamu.

Naunga mkono ajiuzulu tu ashughulikie afya yake
 
Huyu kaziyake ingekuwa kukaa na kusoma mafaili tuuuu ofisini,kutafuta taarifa na kumfikishia bosi wake!!
hakuna haja yeye kutembeatembea wakati tuna waziri mkuu,mawaziri,makatibu,mawabunge,madiwani,maRc,maDc,mawakurugenzi nk.
Hii nchi tuna taasisi duuuni sana,hivi takukuru hawaijui makandokando ya mwanga KLM
 
Nafikiri hapa ndio pana shida.
Na je akijiuzulu, nafasi ya Rais inakuwaje?
 
Huyu mwamba ana maamuzi magumu sana ,msije kushangaa mwezi June akajiuzulu kweli maana sio kweli wanaweza kumaliza Kwa miezi mitatu.

Hata Mimi nimehisi Kuna kitu hakipo sawa , mwamba anataka kujiuzulu hata Leo lakini Kwa sababu kujiuzulu Sasa kitakosa logic kaamua kutumia usomi sana na ieleweke huo Mradi kukamilika mwezi June ni kitu ambacho ni kama hakiwezekani.
 
Ni kweli, thats the underlying logic.
He wants out!!!
 
Na kauli ya jk kwamba bi mkubwa 2025 chaguo lake wa kwenda nae kwenye boxla kura
Maybe sio chaguo lake huyu.
 
Back
Top Bottom