Ni government school mkuu, Shule za kata ni za kusigeza umri tu. Tusizi mind kihivyo. Uzuri pia wenye ni hutoboa humohumo, na wanajua what to do.Shule yenyewe ni ya wavaa makobasi! Elimu dunia sio kipaumbele! Mnawalazimisha! Wana wa mnyaaazi mungu!
OhoooShule yenyewe ni ya wavaa makobasi! Elimu dunia sio kipaumbele! Mnawalazimisha! Wana wa mnyaaazi mungu!
sio uongo mkuu ni ukweli mtupu hii shule hamna kitu 🤣🤣 kwanza wanafunzi wa kike wana tamaa sana na umalaya na wakiume wanapenda uhuni na usela mavi yaani duhHiyo shule Ina laana naijua tangu muda mrefu pale mwanafunzi kabla ya kufanya mtihani huwa anakuwa anasema yeye ni wa kufeli tu hana winning mentality
Shule inaitwa Diplomasia?Kwa matokeo haya una maoni gani?
Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
View attachment 2869779
Hilo nalo ni tatizo kubwa sana!Hiyo shule Ina laana naijua tangu muda mrefu pale mwanafunzi kabla ya kufanya mtihani huwa anakuwa anasema yeye ni wa kufeli tu hana winning mentality
✅✅✅👏👏👏🙏Ukitaka kuchangamsha shule kama hiyo hakikisha inapata waalimu wa Hesabu na Physics wanaopenda kazi yao (dedicated) na wakutosha; Sio wale wa kuunga unga wanao waambia wanafunzi eti Hesabu/Physics ni ngumu. wakifanya hivyo, miaka mitatu ijayo inakuwa shule ya mfano
Kumbuka; watoto wakifaulu Hesabu na Physics hufaulu na masomo mengine; waalimu watanielewa
Mbunge wa jimbo inakopatikana hiyo shule?Kwa matokeo haya una maoni gani?
Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
View attachment 2869779
Watafute chanzo cha matokeo mabaya ni nini.Kwa matokeo haya una maoni gani?
Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
View attachment 2869779
Unazungumzia Mbunge wakati Waziri wa Elimu anashinda daslm na Rais yupo hapo hapo wakiamua kwenda hata kwa miguu wanafika..Mbunge wa jimbo inakopatikana hiyo shule?