Mbona kazi ya kuwatuma wapemba ilishafanywa na Mnyamwezi. Saidi Washoto alikuwa Mkuu wa Mkoa wa mjini Unguja. Unajuwa Wazanzibari si wabaguzi kama watu wanavyofikiri. Ama Mchaga bado hajaongoza Zanzibar lakini Wamakonde,Wasongea na wengine wameshatumika.Ngekewa,
Huko Zenji mmefanya kasumba mbaya ya kila mtu asiye Mzenji, mnamwita Mnyamwezi. Siku tukija kushika URAHISI wa nchi hii, tutahakikisha hili neno MNYAMWEZI ndiyo Mtumwa wetu LINAKUFA.
Inabidi siku moja nije niwe na kampuni langu hapo Zenji na niajiri Wapemba. Hapo mtachekea Msalani maana Wapemba wameajiriwa na Mnyamwezi. Na nitakuwa kila sehemu najitangaza kama Mnyamwezi......
1. Mnyamwezi anatafuta wafanyakazi kwenye kiwanda......
2. Mnyamwezi anakualikeni kwenye sherehe..........
3. Mnyamwezi anaistisha mkutano............
4. Mnyamwezi kamfukuza kazi Ngekewa kwa UVIVU na ULEVI kama mjomba wake Ahmada (Bi. Kidude).