Ladyheart
Member
- Jan 30, 2009
- 58
- 7
Wadau,nimetoka kuongea na ndugu yangu ambaye ameshiriki kwenye mchakato wa interview katika sekta moja nyeti sana nchini.
Kilichonistua ni kuwa intavyuu yenyewe ni ya ajabu sana
1. Kwanza;ilifika sehemu wakaingia kwene chumba wakiwa watupu kabisa kila mmoja.Na kisha walikuwa wanalazwa kitandani na kuamshwa hisia zao ili uume usimame. Kama usiposimama analetwa mwanamke mrembo na kukupapasa kuhakikisha kweli wewe ni rijali.
Kingine ni kuwa,ukiwa uchi hivo unaambiwa inama,kisha unapigishwa chafya ama kelele kwa nguvu,huku kwa nyuma mtu anaangalia njia yako ya haja kubwa..lengo ni kuangalia kama umewahi kujihusisha na ngono ya kinyume na maumbile(kukameruniwa)..ikirespond kwa namna fulani wao wanajua kuwa wewe ni shoga so huna ajira.
Pia wanakupima magonjwa yote hadi ukimwi na kukupa majibu. Ukifuzu stage zote hizo na nyinginezo kali kweli ndio unapata ajira.
Huyo ndugu yangu amepitia stage zote hizo za intavyuu,ila tu anadai wamemnyima kazi kwa sababu ana matatizo ya kifua chronic.
mkuu hiyo interview huwa mpaka kwa wanawake,unavuliwa nguo,kisha unaangaliwa tumbo na maziwa km umeshawahi kuzaa,pili unaangaliwa uke wako,hapo pengine 2mbo na maziwa havijatoa majibu sahihi kwahy unapigwa tochi ktk uke wako,je umezaa,k2 kingine je unakovu ktk mwili wako au umejichora tatuu..ukifaulu hapo basi kz umepata.