Hii aina ya interview jamani ni udhalilishaji

Erick52 said:
Hivi unajua mwanaume hanisi ni km
mwanamke? Ofisi haiendi
kabsaaaaaaa
Ingekuwa hivyo kwenye jeshi la Marekani kusingekuwa na Mashoga.
 
mkuu hili jina laB-52 umelipata wapi? hilo jina mimi ndilo lilikuwa langu wakati wa vita vya AFaghanistan vita vya Amerika kumtafuta Mzee Osama bin Laden unajuwa nini maana ya ( B-52 )?
Hahahaaa
Kaka hili jinanimeanza nalo tangu enzi za sadam na Osama kuleeee Iraq na AFaghanistan.....
So nikuite Mzizib52?
 
Ingekuwa hivyo kwenye jeshi la Marekani kusingekuwa na Mashoga.
Kuwa shoga haina maana haisimami......
Tatizo ni kutofanya kazi kabisa....shoga anaweza kukupa shughuli hadi ukashangaa coz ni tabia tu ndo imemuharibu
 
Kwani hakuna njia nyingine mpaka wakugeuze,wakuinamishe na kuangalia njia yako ya haja kubwa? Wewe uko okay kabisa kufanyiwa hivo tena na wanaume wenzako?
Sidhani kama kuna njia nyingine ya kumjua shoga bila kumkagua pysically....
Halafu mambo ya kidaktali huwa ni siri....wewe na doctor tu km jamaa angekaa kimya wala asingeona kama amedhalilishwa
 
hapa nina kahoja kaduchu...una maana wanawake wakiwa ofisini,ofisi haiendi??nijuze fresh hapo.
Na-unDO kidogo....si wote ila majority....we tembela ofisi kadhaa uone wadada walivyo na nyodo ila wanaume huwa wako smart sana....Mdada anaweza akakuambia boss hayupo wakati yupo...na mengineyo.....
Huo ndo ukweli km hutaki LOGGOUT
 
Dah wako sahihi ila sema tu kwenye kupima Ukimwi ndo wanakosea coz yahitaji utayari wa mtu mwenyewe au kama wakikupima basi hawakutakiwa kukupa majibu kwa kuwa hukipanga kupima....
Mambo mengine ni ya kawaida kwa kuwa watakuwa na uzoefu wa kukutana na mashoga....
Hivi unajua mwanaume hanisi ni km mwanamke? Ofisi haiendi kabsaaaaaaa

Safi sana nimeupenda huo usaili,nadhani hapo hakuna mabwabwa.
 
Back
Top Bottom