Hi, am a new member!

Kweli nimeamini elimu ya Tanzania haimkomboi mtu!
Hivi kweli mtu amesoma mpaka wenzake wakamwita daktari lakini bado akatumika na mafisadi ili awapendelee waonekane wanaongoza kwenye kura za maoni wakati si kweli! Elimu ya Kibongo hakuna kitu!!!
 
hellow wana jamii, thank leo hii najisikia kama nime born again after complete registration kwenye mtandao wetu..............::hand:
 
hellow wana jamii, thank leo hii najisikia kama nime born again after complete registration kwenye mtandao wetu..............::hand:

sasa upitie sheria na kanuni za JF ili uwe na ushiriki wenye ufanisi.
 
Hi All,

A new subscriber has recently joined you,let us be together on chasing the leaders with irregularities act against goverment funds.
 
Shukrani ya kujiunga na Jamii Forums
Members, nimefurahi mno leo kujiunga Rasmi na Forum hii kwani najisikia kama mtu aliyepanua wigo wa uhuru wake.
Mna kila sababu za kutazamia mchango wangu wa kusisimua, haswa katika kipindi chetu hiki cha mpito kuelekea kwenye ukombozi na uhuru kamili yaani hadi pale Rais wetu mpya makini na asiyechekacheka wala kuwa na tamaa ya ku-establish empire atakapoapishwa - Dr.Wilbrod Slaa.:llama:
 
Kwa kushirikiana mawazo mbalimbali yenye mitazamo mbambali.Uthubutu wa kusema bila unafiki.Kwa mfano,huu ni mwaka wa uchaguzi.Tuwe wakweli katika kutoa maoni ya kujenga nchi.Tusiwe watu wa kudanganywa.Siku ya kupiga kura,tuende vituoni kwa amani na kumchagua kiongozi anayefaa kuongoza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom